Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee, angalia harahara na majina ya watu hapa.Haya sawa nitalifanyia kazi ila tatizo langu kwenda kwenye PM siwezi kabisa hivyo suspects wangu nitawataja wazi hapa hapa kwenye uzi wako
Ukimjua utaniambia huyo "anayejifanya FUNDI" utaniambia hata kama ni mpaka rangi...Teh teh Sawa ngoja nianze kulifanyia kazi
Hakuna haja ya kufichaUnaharibu sasa na wewe,weka jina lake hapa analotumia jf
NikweliHebu mtaje kwa id yake ili wengine tujihadhari nae!
Unaonaje Tukimloga , Aote mapele mpaka kwenye UlimiSisi ni binadamu, mtu anaweza kukuface akawa kweli anatatizo unampa na mtu anarudisha au anakueleza ukweli wapi ka kwama na wakati gani atakupatia, unajua matatizo ni mapito tu. na ningeweza kumuachia hyo hyo maana nilimpa tareh 9/8/2015 lakin nilipojua ni tapeli nikasema atailipa tena kwa aibu.
msg zote ninazo kwenye sim hivo sina shaka.
Kwa haraka nilichogundua huyu jamaa ni tapeli na ndio style yake ya maisha, kuna uwezekano kishawaliza wengi, maana hata life style yake sio mtu wa kuwa wazi, haeleweki anafanya shughuli gani ila ukimkuta humu yupo kuuliza vitu vya 500000 na kuendelea, sijawah muona kwenye post za vitu vya 30000kushuka.
Pia kumjua kwa ID hakuta saidia maana hapa anaweza kubadili
ID, toeni shaka mtumjua tu soon.
Hata mimi mkuu..afu unaambiwa taja id yake unavungaa...atuondee chai za kijinga hapaNimekutoa akili kabisa... unamkopesha mteja?
Kwa maelezo yako inaonekana hamkuishia kwenye biashara tu,mlienda mile tano mbele kwenye uhusiano kwanza maana hata kama iweje huwezi kumpa pesa yote hiyo mtu mliejuana mda mfupi tu. Alafu ukizingatia wafanya biashara walivyo wabahili na ndio maana hutaki kutaja Id take.
Ni bwana yake haiwezekani mtu isiyemjua ukampa pesa kirahisi namna hiyo,hivi unajua wafanya biashara walivyo wabahili ukipungukiwa mia tu hakuuzii kitu itakuwa laki mbili.Atabadili ID kivipi ?? Kuna mtu mwenye access ya kubadilisha ID JF ?? Mimi nachoona ni kwamba kuna kitu upande wa pili wa stori hutaki tujue ,sasa hii mada imekuja hapa kutuambia kuweni makini na kaka jambazi halafu hajulikani ???
Kwa hiyo nikimjua kwa sura kesho akija kunitapeli hapa jamii forum sura yake ndio inatokea ??
Daah'polen saana aseeh,ata mm mwaka jana nlitapelewi elfu.50 umu na jamaa uyoo nikamtishia polis akaniambia sisi wote wanaume tusifanyiane ayoo mambo ntakulipa tu ndo mpaka leo kbaya zaid aliweka tangazo la biashara,mm nkachukua no.yake tu na kumchek cjamfta pm,so ckujua anatumia I'd gan mpak leo...ila ww ungeweka I'd ya uyoo jamaa kam unaijua..
Mim siweki ID ila mtamjua kwa sura kupitia huko polisi alikojipeleka, jambo dogo sana kumjua.
Binafsi nilihisi uenda kuna mahusiano mengine zaidi ya hiyo biasharaHii tahadhari yako sijui itafanyaje kazi wakati hujatuambia ni nani ,na sijui sababu zako wewe kumfanya hivyo ni zipi hasa ? Siku zote kuna pande mbili za stori ,ngoja tusubirie kumwona polisi
Lazima kuna kitu ,nikajua kama mtu ajapitiwa sijui ,si unajua wazee wa harakatiBinafsi nilihisi uenda kuna mahusiano mengine zaidi ya hiyo biashara
Sure..Hilo swala la kumuamini mtu fasta hivyo mpaka unamtumia pesa mi sijalielewaLazima kuna kitu ,nikajua kama mtu ajapitiwa sijui ,si unajua wazee wa harakati