TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Pole sana ma dear,binadamu bana sio wema kabisaa,mwanamme ulokamilika unakula hela ya mdada tena anayejitafutia ule tu yaan hivi hivi tu nyambafu zake,tena ulimsaidia lkn hana hata haya mtaje hapa tumjue ili iwe dawa na kwa wengine
 
Ni kwavile nimetoka kidogo ila ningekwambia unitajie ID ya huyo mtu ili ikiwezekana akae rumande hata wiki tatu.
 
pole mamy .. mi nimchoyo asingekula hata maziwa yangu bila kulipa.. usichezee pesa yangu kabisa
Wapo matapeli wengi sana humu ndani. Mimi nishawahi kutapeliwa na Hawa @ukwelikitugani na Miki . Ila dada apologize lady ni bora ungemtaja ili sisi wengine tuweze kumuepuka humu jf. Pia atasikia aibu kuwaibia watu wengine maana watu wanakuwa wameshafahamu ID yake.
Pole sana ma dear,binadamu bana sio wema kabisaa,mwanamme ulokamilika unakula hela ya mdada tena anayejitafutia ule tu yaan hivi hivi tu nyambafu zake,tena ulimsaidia lkn hana hata haya mtaje hapa tumjue ili iwe dawa na kwa wengine
Juzi nilisema tunaishi na majambazi humu ndani
Mtu mwenyewe ukimuona hata huwezi kumzania, mazungumzo yake ni dili za mil 10 kuendelea, unaweza sema AC yake ina fedha za escrow kumbe shwain mkubwa, anatapeli watu kuishi mjini.
 
hao wenye kuongea ongea mara nyingi waongo.. wanao piga madili wanakula kimya kimya
 
Nikosa nimelifany, lakin nilimsadia kiungwana tu, kwa kua niliamin ATM yake inatatizo na ilikuwa ni jumapili.

Biashara za kumfuata au kumpelekea mteja alipo... ni kheri uonekana na roho mbaya kuliko kumuonea imani... utalizwa...
 
Kwanza alikuwa na mpango wa kuniteketeza, maana mashambulizi yake ya mara niazime tena laki 2 nipakupa pamoja na ile, ningemuendekeza hapa ningekuwa naomba mtaji muda huu, maana angenimaliza
 
Nakushangaa ati mteja anakuambia niazime na wewe unamtumia.. khaaa... huyo jamaa ana bahati sana aiseee....
 
Back
Top Bottom