ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,237
- 1,099
Ungemtaja roho yangu ingetulia....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya basi ndio ishatokea tena, lakin ukweli huwa nina tabia ya kuguswa endapo mtu akinililia shida, si kwamba ninazo hapana, ila huwa nawaza jinsi gani nikiwa na tatizo anaumia, napenda kusaidia ila ndio hvo wengine vichomi tu.Nakushangaa ati mteja anakuambia niazime na wewe unamtumia.. khaaa... huyo jamaa ana bahati sana aiseee....
Watu wengi wema huwa mara nyingi ni victims wa matapeliNikosa nimelifany, lakin nilimsadia kiungwana tu, kwa kua niliamin ATM yake inatatizo na ilikuwa ni jumapili.
Lakini pia hakuna marefu yaso na ncha, ipo siku ataingia pasipo ingilika ndio atajuaWatu wengi wema huwa mara nyingi ni victims wa matapeli
Hata nikikwambia ni nani haitasaidia kwakua akiona huu uzi lazima atabadili ID. Jambo kubwa kumjua kwa sura sio hzi fake IDHii tahadhari yako sijui itafanyaje kazi wakati hujatuambia ni nani ,na sijui sababu zako wewe kumfanya hivyo ni zipi hasa ? Siku zote kuna pande mbili za stori ,ngoja tusubirie kumwona polisi
Atabadili ID kivipi ?? Kuna mtu mwenye access ya kubadilisha ID JF? Mimi nachoona ni kwamba kuna kitu upande wa pili wa stori hutaki tujue ,sasa hii mada imekuja hapa kutuambia kuweni makini na kaka jambazi halafu hajulikani?Hata nikikwambia ni nani haitasaidia kwakua akiona huu uzi lazima atabadili ID. Jambo kubwa kumjua kwa sura sio hzi fake ID
Id watu wanazo hata kumi labda kama hujui. tena hato badili ila ataanza kutumia Id nyingine. Zaidi ukihtaji ID subiri.Atabadili ID kivipi ?? Kuna mtu mwenye access ya kubadilisha ID JF ?? Mimi nachoona ni kwamba kuna kitu upande wa pili wa stori hutaki tujue ,sasa hii mada imekuja hapa kutuambia kuweni makini na kaka jambazi halafu hajulikani ???
Kwa hiyo nikimjua kwa sura kesho akija kunitapeli hapa jamii forum sura yake ndio inatokea ??
Nimeshindwa kuelewa sanaAtabadili ID kivipi ?? Kuna mtu mwenye access ya kubadilisha ID JF ?? Mimi nachoona ni kwamba kuna kitu upande wa pili wa stori hutaki tujue ,sasa hii mada imekuja hapa kutuambia kuweni makini na kaka jambazi halafu hajulikani ???
Kwa hiyo nikimjua kwa sura kesho akija kunitapeli hapa jamii forum sura yake ndio inatokea ??
Kuwa na multiple ID's sio hoja ,mtu anaweza badili ID yake lakini kama wewe ni mtu unaye pay attention to details wala hutoumiza kichwa kumfahamu ,flow ya maneno ,aina ya uandishi nk ,ni watu wachache sana wanaoweza kuwa na personality tofauti na usiweze kuwafahamu na hilo ni swala lingine kabisa linahitaji uwezo wa akili mkubwa na mazingira fulaniId watu wanazo hata kumi labda kama hujui. tena hato badili ila ataanza kutumia Id nyingine. Zaidi ukihtaji ID subiri.
Hahahahaha!!!! Kama mdau wa hli jukwaa we unga dot utamjua tu.Kuwa na multiple ID's sio hoja ,mtu anaweza badili ID yake lakini kama wewe ni mtu unaye pay attention to details wala hutoumiza kichwa kumfahamu ,flow ya maneno ,aina ya uandishi nk ,ni watu wachache sana wanaoweza kuwa na personality tofauti na usiweze kuwafahamu na hilo ni swala lingine kabisa
Bado sijaona sababu ya wewe kutokutaja jina la muhusika ,kuna jamaa mmoja alikua kiboko wa kuleta mada za meditation watu walimlipua ni tapeli na kweli sijamskia tena hapa JF
Teh teh Sawa ngoja nianze kulifanyia kaziHahahahaha!!!! Kama mdau wa hli jukwaa we unga dot utamjua tu.
Mi nitachezea kingine chako aiss ila si hela yako[emoji12]pole mamy .. mi nimchoyo asingekula hata maziwa yangu bila kulipa.. usichezee pesa yangu kabisa
Fanyia kazi ukishindwa niambie nitakwambia. ila uwe umejaribu hata kidogoTeh teh Sawa ngoja nianze kulifanyia kazi
Haya sawa nitalifanyia kazi ila tatizo langu kwenda kwenye PM siwezi kabisa hivyo suspects wangu nitawataja wazi hapa hapa kwenye uzi wakoFanyia kazi ukishindwa niambie nitakwambia. ila uwe umejaribu hata kidogo