TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Nakushangaa ati mteja anakuambia niazime na wewe unamtumia.. khaaa... huyo jamaa ana bahati sana aiseee....
Haya basi ndio ishatokea tena, lakin ukweli huwa nina tabia ya kuguswa endapo mtu akinililia shida, si kwamba ninazo hapana, ila huwa nawaza jinsi gani nikiwa na tatizo anaumia, napenda kusaidia ila ndio hvo wengine vichomi tu.

Hata hvo MWISHO WA UBAYA NI AIBU
 
Hii tahadhari yako sijui itafanyaje kazi wakati hujatuambia ni nani ,na sijui sababu zako wewe kumfanya hivyo ni zipi hasa ? Siku zote kuna pande mbili za stori ,ngoja tusubirie kumwona polisi
 
Si unapajua hadi kwake? Kwanini usimfungulie mashtaka na akakamatwe?
 
Huwa nawaza sana hata kwenye jambo dogo sana mpaka najionea huruma

Ila inanisaidia sana kuepuka matatizo madogo kama haya ulikosea kuanzia kumkopesha kumtumia pesa kumuambia pesa zipo kwa watu offcorse ulijilengesha mwenyewe na unazidi kupoteza muda wako
 
Sasa hii itawaharibia biashara watu wengine ni bora huyo tapeli angejulikana tu.
 
Hii tahadhari yako sijui itafanyaje kazi wakati hujatuambia ni nani ,na sijui sababu zako wewe kumfanya hivyo ni zipi hasa ? Siku zote kuna pande mbili za stori ,ngoja tusubirie kumwona polisi
Hata nikikwambia ni nani haitasaidia kwakua akiona huu uzi lazima atabadili ID. Jambo kubwa kumjua kwa sura sio hzi fake ID
 
Hata nikikwambia ni nani haitasaidia kwakua akiona huu uzi lazima atabadili ID. Jambo kubwa kumjua kwa sura sio hzi fake ID
Atabadili ID kivipi ?? Kuna mtu mwenye access ya kubadilisha ID JF? Mimi nachoona ni kwamba kuna kitu upande wa pili wa stori hutaki tujue ,sasa hii mada imekuja hapa kutuambia kuweni makini na kaka jambazi halafu hajulikani?

Kwa hiyo nikimjua kwa sura kesho akija kunitapeli hapa jamii forum sura yake ndio inatokea?
 
Atabadili ID kivipi ?? Kuna mtu mwenye access ya kubadilisha ID JF ?? Mimi nachoona ni kwamba kuna kitu upande wa pili wa stori hutaki tujue ,sasa hii mada imekuja hapa kutuambia kuweni makini na kaka jambazi halafu hajulikani ???
Kwa hiyo nikimjua kwa sura kesho akija kunitapeli hapa jamii forum sura yake ndio inatokea ??
Id watu wanazo hata kumi labda kama hujui. tena hato badili ila ataanza kutumia Id nyingine. Zaidi ukihtaji ID subiri.

Pia sijataka kuitaja ID yake kwakua tayari kuna wadau jukwaa hili nilishawaeleza hadi namba zake niliwapa kitambo sana.
 
Atabadili ID kivipi ?? Kuna mtu mwenye access ya kubadilisha ID JF ?? Mimi nachoona ni kwamba kuna kitu upande wa pili wa stori hutaki tujue ,sasa hii mada imekuja hapa kutuambia kuweni makini na kaka jambazi halafu hajulikani ???
Kwa hiyo nikimjua kwa sura kesho akija kunitapeli hapa jamii forum sura yake ndio inatokea ??
Nimeshindwa kuelewa sana
 
Id watu wanazo hata kumi labda kama hujui. tena hato badili ila ataanza kutumia Id nyingine. Zaidi ukihtaji ID subiri.
Kuwa na multiple ID's sio hoja ,mtu anaweza badili ID yake lakini kama wewe ni mtu unaye pay attention to details wala hutoumiza kichwa kumfahamu ,flow ya maneno ,aina ya uandishi nk ,ni watu wachache sana wanaoweza kuwa na personality tofauti na usiweze kuwafahamu na hilo ni swala lingine kabisa linahitaji uwezo wa akili mkubwa na mazingira fulani

Bado sijaona sababu ya wewe kutokutaja jina la muhusika ,kuna jamaa mmoja alikua kiboko wa kuleta mada za meditation watu walimlipua ni tapeli na kweli sijamskia tena hapa JF
 
Kuwa na multiple ID's sio hoja ,mtu anaweza badili ID yake lakini kama wewe ni mtu unaye pay attention to details wala hutoumiza kichwa kumfahamu ,flow ya maneno ,aina ya uandishi nk ,ni watu wachache sana wanaoweza kuwa na personality tofauti na usiweze kuwafahamu na hilo ni swala lingine kabisa

Bado sijaona sababu ya wewe kutokutaja jina la muhusika ,kuna jamaa mmoja alikua kiboko wa kuleta mada za meditation watu walimlipua ni tapeli na kweli sijamskia tena hapa JF
Hahahahaha!!!! Kama mdau wa hli jukwaa we unga dot utamjua tu.
 
Fanyia kazi ukishindwa niambie nitakwambia. ila uwe umejaribu hata kidogo
Haya sawa nitalifanyia kazi ila tatizo langu kwenda kwenye PM siwezi kabisa hivyo suspects wangu nitawataja wazi hapa hapa kwenye uzi wako
 
Back
Top Bottom