TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Inawezekana pia kwa mawazo yako. But uaminifu ni jambo la msingi ikiwa mtu alikusaidia kwa shida zako.

ni kweli kabisa ila inaonyesha kuna kitu kinakunyima nguvu kwenye hili.

1. Unapajua anapoishi but u never tried to go and pick ur money!

2. Kumtaja mtu aliyekutapeli wazi wazi kabisa unaogopa.

huyu mtu ulihusika nae zaidi ya biashara ya maziwa!!!
 
Mim siweki ID ila mtamjua kwa sura kupitia huko polisi alikojipeleka, jambo dogo sana kumjua.
Mkuu....
Please..[emoji120] naomba unitumie I'd yake hata pm aiseee, sababu nina kesi inafanana kama hii, na muhusika aliechukua pesa kwangu yumo humu jf, sasa nina shaka ni mtu anae zunguka kwa gia tofauti
 
Mkuu....
Please..[emoji120] naomba unitumie I'd yake hata pm aiseee, sababu nina kesi inafanana kama hii, na muhusika aliechukua pesa kwangu yumo humu jf, sasa nina shaka ni mtu anae zunguka kwa gia tofauti
Nitext
 
mkuu haya mambo ni zaidi ya tulivyoambiwa hapa...tuwaachie wao bana...la muhimu ametupa ONYO!
Kweli kabisa inawezekana safari moja ilianzisha nyingine watu waka kwichi kwichi hotae,mahaba niue mpaka kukopeshana fedha.

Mwisho wa mwezi ukifika ukifika abiria chunga mzigo wako mamaa,mwananyamala posta manzese kariakoo tandika shule ya Uhuru Dada ogopa kanyaboya.
 
Nimeona mteja wangu wa mapenzi
Kwa style yako kama una mume iyo biashara bora afanye yeye au kama huna tafuta mfanyakazi.. Inaonekana unafanya biashara zaidi ya hiyo ya maziwa

By the way nita order raba kwako kupitia kwa mtu lakini nimezipenda...
 
Kwa style yako kama una mume iyo biashara bora afanye yeye au kama huna tafuta mfanyakazi.. Inaonekana unafanya biashara zaidi ya hiyo ya maziwa

By the way nita order raba kwako kupitia kwa mtu lakini nimezipenda...
Mbona kama unaingilia mambo yangu binafsi na ya familia yangu?

Toa dhana duni kichwani jenga taswira mpya, umsadie mwanamke popote. Hapo utakuwa umemgusa mama yako, dada yako, shangaz nk. Wanawake ni jeshi kubwa.

Karibu
 
kwanza pole kwa yaliyo kupata. hata mimi wakati nasoma huu uzi nimejiuliza maswali kama hao wajumbe kwamba inakuaje unamdai alafu anazidi kukubomu tena na tena alafu ni mtu mmekutana jf mkaanza kufanya biashara. aisee pole sana kilicho kugharimu hapo ni huruma na imani yako. usikubali pambana upate haki yako.

'It's always good to know about new customers before they walk in your door'
 
Kumbe sasa jogoo la shamba linawika mjini. Nilidhani sisi wa shamba tunaibiwa kumbe hata nyie huku chaka mnapahofia
 
Kikubwa ungeitaja hiyo I'd ya huyo jamaa unayedai amekupiga unless mtakuwa mnajuana physical kitambo sioni sababu kutotaja Id take humu jf.

Watu humu tushafanya bishara nyingi na tumekutana na watu wengi tu ila ktk biashara kunataka umakini...style yangu nakupa mali we nipe changu baada ya kuridhika.

Ila kwa wewe mleta mada hii kutomtaja jamaa huo ni uwoga na kutojiamini mpaka mtu atadhani labda mnajuana mida mrefu
 
Nikosa nimelifany, lakin nilimsadia kiungwana tu, kwa kua niliamin ATM yake inatatizo na ilikuwa ni jumapili.
Kama una roho ya huruma na ubinadamu na kuwaamini wengine ni rahisi sana kufanya kosa kama hilo la kiufundi hasa ukizingatia ushawahi kufika hadi kwake.

Wengi tumefanya makosa kama hayo kwa namna tofauti lkn haitufanyi tuvunjike moyo wa kuwasaidia wengine bila kujali ni matapeli au laa! Kwa imani ni kwamba hutakula haki ya mtu bila kulipa! He will surely pay the price of his actions before his funeral and after.
 
Mkuu kubadili ID ni simple tu ,unatengeneza ID mpya kwa dakika chache tu kwa kutumia details mpya.

Kuna watu humu wana ID hata sita. Anachosema huyu dada yupo sahihi, akiitaja ID , jamaa kesho anakuja na mpya inakuwa haijasaidia kitu.
 
Mkuu kubadili ID ni simple tu ,unatengeneza ID mpya kwa dakika chache tu kwa kutumia details mpya. Kuna watu humu wana ID hata sita. Anachosema huyu dada yupo sahihi, akiitaja ID , jamaa kesho anakuja na mpya inakuwa haijasaidia kitu.
Mkuu hilo la kutengeneza ID kwa details tofauti ni swala lingine kabisa ,ID ambayo nasema hatoweza kubadilisha ni hiyo aliyokua anatumia kutapelia na ndio maana tukamwomba bi dada amtaje muhusika ndio hivyo kaweka mgomo baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…