Tahadhari: Kuna wizi mpya umeingia Dar es Salaam, Vituo vya Daladala tuwe makini

Aisee
 
Mkuu, Kwa Tanzania au? 😆
 
[emoji1][emoji1][emoji1] bongo dar es salaam mnaibiwa kuzembe Sana
 
Mkuu, Kwa Tanzania au? 😆
Yes mkuu why hili lisifanyike hapa Tanzania hasa hapa Dar?,Lusaka ipo wired na cctv hata uswahilini, why nasi tusifanye?,tuanzie kwa wafanya biashara wote wawe na cctv kuzunguka maeneo yao na zingine zi face barabara zinazowazunguka,then all malls/supermarkets/petrol stations, then municipalities waweke cctv kwenye barabara zao,Francis Town mji wa pili kwa ukubwa ndani ya Botswana upo wired why sisi tushindwe?,maeneo ya Ubena kuna sign ya speed camera!!,je kuna walioiona hiyo camera?
 
So Sad
 
Wizi huu si mpya, Mbagala tunaujua siku nyingi na tunasema usipande vigari usivyovijua pia usikimbilie mbele wala kati ya abiria usiyemfahamu.
 
Inawezekanaje kumzoea stranger kirahisi hivyo.?

Inawezekana vipi.?
 
Mimi toka zamani hata gari za IT Sipandi,bajaji labda ni request bolt na boda pia hivyo hivyo
 
Hapa ni Tanzania.Africa kusini kabisa mwa jangwa la Sahara mkuu
 
Wizi huo sio mpya hapa town labda kwa wewe ulietokea ushirombo jana
 
Ilishanitikea hii,jamaa mmoja alinishtua bro izo bajaji zinaenda hadi sehemu x Kwa buku mbili ukiangalia ilikua saa tatu Usiku,mwamba nikachoma ndani,nikamkuta Kuna jamaa mwingine kashatangulia,nikaekwa katikati,pona yangu dereva hakuwepo tukawa tunamsubiri,Ila nikiziangalia njemba mbili akili haikunipa kabisa kama ni wasafiri,alipokuja dereva akawa kaongozana na jamaa mwingine nayeye akidai ni abiria,wakakaa mbele na dereva,vaa yake huyu jamaa wa tatu akili ikagoma kabisa,ikabidi nimwambie dereva anisubiri nitoe pesa kwenye simu,sikurudi.
Baada ya dakika tano akanifuata yule jamaa wa kwanza 'OYAAA bro hauendi tena' nikamwambia tumbo limenitight natafuta msalani nikajirelies.
Nikawachungulia nikaona wanasepa bila kuongeza abiria,nikajipandia daladala langu huyooo.
 
Alitoa pesa kwa wakala gani? Waanzie hapo
 
Asijekua amekula michango ya harusi anatafuta kisingizio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…