Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limbukeni wewe...Siwez kuibiwa kizembe hivi[emoji1241]
Inawezekanaje kumzoea stranger kirahisi hivyo.?
Inawezekana vipi.?
Nchi maskini zinaendeshwa na mabeberu. Mitandao mingi ya wizi ina connection na wakubwa. Mambo mengine ni formality tuJeshi la police la kitaalamu lingeweza ku Crack hii kesi within 3hrs, mawasiliano ya simu na cctv za barabarani zingesaidia na pia biashara zote hasa maduka, petrol stations, ofisi za umma ni LAZIMA wafunge cctv, na zingine lazima ziangalie kwenye barabara, huyu mzee angeitwa na kuangalia mikanda ya cctv na bila shaka angelitambua gari husika
Yule jamaa aliyekuwaga waziri wa mambo ya ndani. Kitwanga alikuwa na idea hii. Sijui in kilimchelewesha.Yes mkuu why hili lisifanyike hapa Tanzania hasa hapa Dar?,Lusaka ipo wired na cctv hata uswahilini, why nasi tusifanye?,tuanzie kwa wafanya biashara wote wawe na cctv kuzunguka maeneo yao na zingine zi face barabara zinazowazunguka,then all malls/supermarkets/petrol stations, then municipalities waweke cctv kwenye barabara zao,Francis Town mji wa pili kwa ukubwa ndani ya Botswana upo wired why sisi tushindwe?,maeneo ya Ubena kuna sign ya speed camera!!,je kuna walioiona hiyo camera?
Yes usikaubali kukaa mbele,shikilia button ya mlango muda woteNishapanda gari from mbez to goba lkn nilikuwa attentive, na any mess