Tahadhari: Kuna wizi mpya umeingia Dar es Salaam, Vituo vya Daladala tuwe makini

Ahsantee kwa taarifa, ila Dar kila siku unaibuka wizi mpyaa, uwiiiih
 
Ukiwa na free soul huwezi kutilia mashaka mtu. Hii inatukuta sana watu ambao ni Extroverts huwa tuna amini watu kirahisi sana. Unless uwe na GPS za asili mwilini ndio ngastuka na machale kundesa.
Inawezekanaje kumzoea stranger kirahisi hivyo.?

Inawezekana vipi.?
 
Nchi maskini zinaendeshwa na mabeberu. Mitandao mingi ya wizi ina connection na wakubwa. Mambo mengine ni formality tu
 
Yule jamaa aliyekuwaga waziri wa mambo ya ndani. Kitwanga alikuwa na idea hii. Sijui in kilimchelewesha.
 
Hao wezi,kuchukua simu tu,ingewakamatisha.Pole kwa muhanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…