Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Watoto wetu 😭😭😭 mimi kwanini nimeleta watoto kwenye mateso haya Mungu wangu zikumbuke dua zetu utunusuru yarabi😭😭😭😭
Tanzania itakuwa kubwa jinga kama DRC
 
Reactions: apk
Kwanini hao wanaomshauri wasijipe madaraka ya kwenda kupambana moja kwa moja na shetani wa pwani bila huyo mwenye enzi kujua ili kuliokoa Taifa?

Damu iliyomwagika Octoba 29 na baada ya hapo inatosha, hatupendi kuona mauaji mengine ndani ya Taifa letu.
 
Reactions: vnn
Wao
Wao wameamua kwa mstakabaliwa matumbo yao
 
Niliwahi kusikia simulizi kuwa Mwl. Nyerere aliwahi kumkataa hadharani na sirini Kikwete asiwe Rais wa nchi hii kwasababu alimfahamu vizuri sana

Sasa waliopuuzia ushauri wake nadhani wanaona kinachoendelea na alipotufikisha hadi sasa.

Simulizi hiyo niliihusianisha na zile simulizi za watu wanaosema "marehemu kama wakati wa uhai wake alisema asizikwe sehemu fulani na nyie mkalazimisha kumpeleka huko huko alikokataa, basi litakalowapata ni juu yenu".

Pengine haya yanayotupata ni sababu ya kukataa kusikiliza ushauri wa marehemu Mzee Nyerere
 
Aisee Tanzania tuko hatarini, nchi yetu imezungukwa na viinchi ambavyo vyote viko unstable.

Jambo moja ni kwamba vina uzoefu na vita. Kwetu Nchi ya amani kuna wanajeshi wanaanza kazi hadi wanastafu hawajawahi kupigana vita hata siku moja.

Kikinuka tutakimbilia wapi? Eeh Mwenyezi Mungu tusaidie
 
Njia ya kuepuka yote hayo ni kutenda haki
Rais ameshaongea na amegusia kila jambo ambalo linapigiwa kelele lakini naona watu wanataka waende tena barabarani

Hawa ndiyo wale ambao hawajui hata wanachokipambania ni nini? Remote yao ipo kwa Mange na Kina Sarungi
 
Mwambie huyo mama ako na viongozi wenzie wa CCM waache utapeli.

Maneno si vitendo pia awajibike kwa mauaji yaliyotokea.
 
Wasiwasi ndo akili , cha msingi ni kumuomba Mungu na atalivusha hili taifa , bila kujali linapita katika wakati gani ,Taifa litavuka ,wenye viburi wataangamia asema Bwana kwa kauli kuu na imekua, semen amina kwa ujasiri mkubwa na imekua
Tanzania itakuwa kubwa jinga kama DRC
Haiwezi kuwa , yesu alimwaga Damu msalabani ili dunia ikombolewe na ndugu zetu wamemwaga damu kwa nchi yao ili taifa likombolewe , Bwana hajaliacha Taifa lake la Tanzania, waliolifikisha apa taifa Mungu anaenda kutenda jambo kama sio pigo kuu kwao ,ila Taifa litasimama amin nawambieni
 
Rais ameshaongea na amegusia kila jambo ambalo linapigiwa kelele lakini naona watu wanataka waende tena barabarani

Hawa ndiyo wale ambao hawajui hata wanachokipambania ni nini? Remote yao ipo kwa Mange na Kina Sarungi
We Mjinga, bado hajafanya jambo moja na la muhimu. Samia anatakiwa ajiuzuru mara moja na kuruhusu kuundwa kwa serikali ya mpito. Utawala huu batili haukubaliki kwa Wananchi, ni KIKUNDI CHA KIGAIDI tu.
 
Ngoja nirud kwa mkoa wangu pendwa faster nisijedaiw passport ya kuingia cz itakuwa nchi nyingine kwa nnavyowajua wale watu wa ule mkoa ..kwanz vijana wao ndo wameuawa sana hapo kimara na mbez...nina hakika wapo tayar kujitenga
 
We Mjinga, bado hajafanya jambo moja na la muhimu. Samia anatakiwa ajiuzuru mara moja na kuruhusu kuundwa kwa serikali ya mpito. Utawala huu batili haukubaliki kwa Wananchi, ni KIKUNDI CHA KIGAIDI tu.
Mjinga mwenyewe

Hilo unalotamani na kulitaka haliwezi kutokea katika nchi hii
 
nchi iko vizuri wala hakuna shida yeyote, serikali imekamilika na kazi ya maendeleo inaanza, nyie wenye mawazo ya chuki mtabaki humu kwenye mitandao mnatisha wapumbavu wenzenu. dec9 hakuna kitakacho tokea, vijana wamesha pata fundisho kubwa sana. Hii nchi ya watu 60m, wafanya fujo hawakuzidi laki moja kwaiyo hii sio tatizo kwa serikali.
 
Mimi hizi ndio naita hoja mfu, hao Uganda na Rwanda ndio waliompiga Lissu risasi? Ndio waliomuua Kibao? Ndio walifukuza Wamasaai Ngorongoro? Wameuza bandari yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…