The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
nchi iko vizuri wala hakuna shida yeyote, serikali imekamilika na kazi ya maendeleo inaanza, nyie wenye mawazo ya chuki mtabaki humu kwenye mitandao mnatisha wapumbavu wenzenu. dec9 hakuna kitakacho tokea, vijana wamesha pata fundisho kubwa sana. Hii nchi ya watu 60m, wafanya fujo hawakuzidi laki moja kwaiyo hii sio tatizo kwa serikali.
Mimi hizi ndio naita hoja mfu, hao Uganda na Rwanda ndio waliompiga Lissu risasi? Ndio waliomuua Kibao? Ndio walifukuza Wamasaai Ngorongoro? Wameuza bandari yenu?
We Mjinga, endelea kula urojo wako tu. Subiri matokeo utayaona kuanzia Disemba 9, itakuwa ni PIGA NIKUPIGE hadi Samuya na Kikwete watapoamua kukimbia nchi au kukamatwa.Mjinga mwenyewe
Hilo unalotamani na kulitaka haliwezi kutokea katika nchi hii
Mi sio mjinga MkuuWe Mjinga, endelea kula urojo waako tu. Subiri matokeo utayaona kuanzia Disemba 9, itakuwa ni PIGA NIKUPIGE hadi Samuya na Kikwete watapoamua kukimbia nchi au kukamatwa.
Sasa una maashaka gani na Maandamano yasiyo na kikomo ya Disemba 9? Kuwa na subra majibu yatapatikana tu, hatuwezi kutawaliwa tena na hili genge la KIGAIDI.Mi sio mjinga Mkuu
Hata mimi pia natamani akimbie
First step ni Samia kuachia ngazi halafu iundwe transition government; short of that ni Giza tupu!!Let it not happen. Watubu warudi mezani iundwe transitional gov then katiba mpya.
Huoni kapress karata ya udini anataka watu wamalizane wenyewe kwanzaAnaendeleza ubabe.. hasomi vitabu na kujifunza itakua kwamba ubabee una mwisho wake.. utaua wanakuja tena unaua tena wanakuja tena utaua tena wanakuja tena utaua tena wanakuja tena.. haya utaua mara ngapi? Suluhisho pekee alilonalo ni kuua?
Inaogopesha sana Bichwa , na kwa dalili zilizopo Hilo jambo linawezekana kutokea.Acha tu dadangu, mimi mwenyewe hapa nimetetemeka hadi nimekojoa kojo la nguvu.
Miguu inazidi kufa ganzi.
Unatisha mkuu , na Kuna kila dalili ya hayo maana...Huu uzi watu wamecomment kiustaarabu kuanzia page 1 up to 8 😅😅
Mungu atusaidie kwa kweli.Unatisha mkuu , na Kuna kila dalili ya hayo maana...
Una rasilimali Gani wewe. Kama taifa mpaka Leo unajengewa matundu ya vyoo na jica? Condom zenyewe unapewa msaada na USAIDItategemeana na uimara wa nchi kutokuingilika kwa maadui wa nje. Nchi ni kubwa hii na ina utajiri mwingi, kuna viinchi jirani ni vikora, vinatamani Tanzania iwe kama congo na sudani ili viingie kwa urahisi kujichukulia rasimali bwerere.