Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Mtoa mada acha kutia wananchi hofu kias hicho, unachokesema hakiwezekani na hakiwezi kutokea.

Serikali imeshajifunza na inajua dhahiri kwamba haitaweza kudhuru raia tena siku ya maandamano na simply because dunia ishajua kilichotokea na watakuwa macho kuona nini kitatendeka tarehe hiyo ya maandamano.

Ninachoona ni Serikali hii ikiruhusu maandamno kwa amani and nothing else.

Guys tuwe na amani na Tanzania ni yetu sote.
 
Huu uzi nimeurudia kuusoma tena kwa
 
Daraja linalounganisha Tanganyika na Zanzibar litaanguka.

Mimi nyota yangu ya mashariki ni Scorpio na nyota ya jua ya Magufuli ni Scorpio.Kitaalamu,nyota ya mashariki huwa ina nguvu mara tatu zaidi kuliko nyota ya jua(sun).

Kwa kunitazama kupitia kwenye lenzi ya nyota yangu ya mashariki-Scorpio(my ascendant Scorpio rising),Mimi nina nguvu mara tatu zaidi ya scorpio-jua(sun in scorpio) ya Magufuli na aina ya Roho yangu ni Boanerge.Rejea Marko 3:17

Boanerge nina weza kujibu kwa maji. Mfano ninaweza kuleta dhoruba kali(storm) linalong'oa vitu vigumu kama mbuyu na maghorofa dar es salaam.Sasa jiulize tufani ya aina hiyo ambayo inafika mpaka dar es salaam kung'oa maghorofa, zanzibar itakuwa inafananaje?

Au Boanerge ninaweza kujibu kwa moto. Mfano niweza kushusha moto kutoka mbinguni,moto mkali kuzidi hata moto wa california,uje uiteketeze dar es salaam yote ibaki majivu na kuondoa kiungo kinacho unganisha Tanganyika na zanzibar.Rejea Luka 9:54-55.Ukiendelea kusoma 56 inaonyesha kwamba Yesu Kristo alinikataza kuangamiza roho za watu.Pamoja na kwamba Yesu Kristo alinikataza,uwezo wa kuangamiza roho za watu ninao na nikiamua ninawaangamiza,mimi ni mchomoa betri mzuri tu.Lakini,nimechagua kumtii Yesu Kristo.
 
Kwa jinsi nilivyoona apo kabla watu ambavyo wamekamia madaraka ,lolote linawezekana, na kwa mantiki ya mtoa mada kama likianza kwa hali ile hatuna Taifa tena ,wasiwasi ndo akili.

Serikali ya mpito kwa sasa ndo suluhu ya kuokoa taifa lilipo sasa .

Alieopo akitaka kugombea atagombea tena huko taifa likiwa limetulia ,hii ya kulazimisha kwamba wananchi watasahau ,logic hii inatakiwa kufa.
 
Lini ilijadiliwa..? acha kuhamisha attention kwa reference ya uongo! hakujawahi jadiliwa jeshi kuwa na timu iko hivi..hapa ndiko kuna tatizo kubwa!
Hivi unazo akili timamu wewe?
Kama wewe ndio mara yako ya kwanza kuiona hiyo orodha usifikiri wote hawajaiona.

Ungefuatilia mada iliyowekwa na huyo niliyemtaja ingekuwa kidogo unaonyesha kuwa unazo akili za kutosha.

Halafu unaniambia mimi niache "kuhamisha 'attention',", tena ulivyo chizi unasema kwa "reference ya uongo"?

Umefanya juhudi yoyote ya kutafuta hiyo reference na kuona kuwa haipo?
Halafu unajipachika jina la kipuuzi 'TrueVoter', nyinyi ndio mliokwenda kumjazia Samia makaratasi kwenye masanduku ya kura?
Hovyo kabisa.
 
Wacha weee.

Chomoa betting ya kizimkazi basi utupunguzie matatizo bosi. 😂😂😂
 
Reactions: apk
Yaani Dkt Samia wa leo ni yule wa baada ya kumuua Dkt Magufuli akuhutubia bunge 2021 ila baada ya hapo akawa mwingine ila leo karudi kuwa yule wa mwanzo,
 
Inasikitisha, Mungu atusaidie.
 
..si unajua ilijadiliwa, ilete kelele za nini? unaweza kuandika gazeti halafu ushindwe kutrace mada ilijadiliwa?
 
Code

Nchi A-UAE,china,Russia!!?

Nchi B-Uganda

C-Rwanda

Nchi x-Kenya!!?

Nauliza nisaidiwe!!?

Mungu wetu utunusuru sisi waja wako!!

Yesu wangu,Mungu wangu!
 
..si unajua ilijadiliwa, ilete kelele za nini? unaweza kuandika gazeti halafu ushindwe kutrace mada ilijadiliwa?
Tafuta chini ya mada alizoleta "Kavulata" miezi michache iliyopita. Usisubiri kutafutiwa kila kitu kama wewe ni zombie.
 
Baada ya kuona na kusikia hatua za kinafiki zilizochukuliwa hadi sasa ili kuubembeleza moto badala ya kuuzima, niliamua kuzama tena ndani, katika ulimwengu usioonekana, kuona jambo hili linahusianaje na maono ya awali ya kuharibika kwa nchi na taifa lake.

Nikaona maandishi ya lugha za ulimwengu usioonekana yanayotafsirika (translated) hivi:

"Kuhusu mfalme wa ardhi yako soma Biblia 1 Wafalme 22:1-40; na kuhusu kama wananchi wataamua kumwachia Mungu badala ya kupigania haki zao kwa maandamano ya amani au hata ikibidi kwa njia zozote zifaazo soma Biblia, Kutoka 17:8-16."

Kiumbe mmoja wa ulimwengu usioonekana akanipa tafsiri(interpretation) zaidi akisema:
"1. Kama ilivyokuwa kwa mfalme Ahabu, mfalme Shungi amekusudiwa na BWANA aangamizwe.
2. Kama Musa inabidi waombaji waombe sana na wasaidiwe na wao kuegemezwa na Haruni na Huri kwa lengo moja tu la kushinda vita.
3. Musa kazi yake ni kuinua mikono na sio kumwambia Joshua aache kupambana kwenye 'field' ili kumwachia Mungu au kuwaachia baadhi ya viongozi wa kidini na kisiasa wafia tumbo na minyoo yake."

"Kwa kuwa mfalme hataki kumsikiliza nabii wa kweli wa BWANA yaani mikaya (sauti za wote wasemao ukweli), basi anakwenda kuangamizwa kwa kuwasikiliza mamia ya manabii wa uongo wenye lengo la kumfurahisha mfalme na kumuhadaa kwa maslahi ya matumbo yao na vizazi vyao, kinyume na maslahi ya Taifa."

BINAFSI SIPENDI haya mambo, lakini siandiki kwa kupenda au kutokupenda bali kutoa taarifa muhimu zitokazo katika ulimwengu usioonekana ambako akina TBC na akina BBC hawana uwezo wa kufika na kuhabarisha yanayojiri.

Kwa niliyoyaona kwenye ulimwengu usioonekana, basi kwa masikitiko makubwa, inaonyesha kuwa next time narudi hapa kuandika, Ahabu HATOKUWA kitini wala mahala pema, familia yake itateketezwa, timu yake itasambaratika, nchi itakuwa miaka 60 nyuma kimaendeleo na taifa litakuwa na upungufu mkubwa wa watu na hasa vijana.

Kama hatoendelea kuwa kama Ahabu na 'akatubu' kama Ezekia kwa kufuata mapendekezo aliyopewa kutoka katika ulimwengu ule, basi huenda nikarudi hapa na taarifa njema kwa taifa.

Lakini kwa kiburi nilichokiona hasa kwa kusukumwa kwake na lile shetani la pwani na majini yake, SIJUI.
 

Je sisi wananchi tufanyaje nini ili nchi yetu Tanzania ibaki salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…