Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Tutamuomba Bwana wa Majeshi usiku huu atasema nasi pia katika hili. Tutaleta mrejesho.
 
Jamaa wewe una mikwara utadhani ya kweli
 
Kwa hyo unataka kusema KIFO NI KIFO TU au?
 
Hatimaye Kagame na Museveni wameifikia Tanzania. May God help us all [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Haya mambo yaliyofanywa kipindi Magufuri anapitishwa kuwa Rais kumuwekea mgombea mwenza aliyewekwa badala ya aliyemtaka yeye ni huzuni sana! Naamini hata waliotaka kupindisha katiba kipindi kile si wajinga na hawakutaka kufanya vile kwa lengo baya, bali walitambua uwezo na udhaifu wa atakayewekwa na katiba. Ona sasa tunakotaka kuelekea! Wamemtega ametegeka, wamemteka ametekeka, ameingia king kiulaini kabisa

Kuwa mkuu wa nchi si sawa na kuwa mkuu wa shule hivyo haitakiwi kuweka weka kila mtu!

Makamu wa Rais anatakiwa awe na uwezo sawa au zaidi ya Rais. Anatakiwa awe na sifa zilizopewa ithibati na timu ya vetting baada ya kufanyia vetting kichwa chake, uwezo wake, elimu yake na matendo yake sio kuamua amua tu kwa mihemuko

Hii laana iende kwa walioshawishi kupitishwa asiye na sifa kwa kumuacha aliye na sifa. Wao na vizazi vyao walaaniwe kila sehemu
 
Code

Nchi A-UAE,china,Russia!!?

Nchi B-Uganda

C-Rwanda

Nchi x-Kenya!!?

Nauliza nisaidiwe!!?

Mungu wetu utunusuru sisi waja wako!!

Yesu wangu,Mungu wangu!
Niliwahi kukwambia ,

nimeona Katika maono,

Tumewekwa mtu kati na manyang'au,

Hao ndio threat kwetu kuliko hao ug na kp ambao ni wanetu wa kuwazaa.
 
Najaribu kuwaza kama ili lingekuwa kweli mfano: Hapa Magufuli(R.I.P) na Hapa Filikunjombe(R.I.P), ....!!!
 
Nadhani pia tulikuwa bado hatujafikia hatua ya kuwa na rais mwanamke - tena ambaye hana elimu wala exposure ya kutosha. Haya mambo ya feminism na 50/50 haya yana matatizo yake. Hata familia ya Kiafrika tu ikiongozwa na mwanamke ni shida sembuse nchi. Mungu hakuwa boya kugawanya haya majukumu. Ona sasa yalikotufikisha.

Magufuli na JK walitukosea sana! Jenerali Mabeyo naye sijui akaogopa nini dah! Mkunda naye! Na kosa hili pengine Magufuli ndo liligharimu mpaka uhai wake!

Your browser is not able to display this video.
 
Ukisikia supu ya mbwa haitakiwi kupoa ndio hii
 
!
Norton82 gallow bird haya tukaneni matusi yote na hapo.. kisha mfikishieni taarifa
 
Ili uache kuwasupport wauaji, acha kusupport wauaji narudia tena acha kusupport wauaji...
Nisapot waporaji,wachoma miundombinu na mali za watu?..mi sisapoti wote, ndiyo maana nataka wachochezi washughulikiwe
 
Ndiyo kitu wanachopenda Diaspora kukisikia hiki nchi yao ikiwa haina amani na imechafuka

Njia ya mwisho umeisahau ya kuyaepuka hayo ni kutofanya maandamano yasiyo ya amani maana ndiyo kitakuwa chanzo cha hayo yote uliyoyamention kutokea
Njia ya kuepuka yote hayo ni kutenda haki
 
Kumeanza kupambazuka❌
Kumeanza kuchangamka✔️
 
!
Norton82 gallow bird haya tukaneni matusi yote na hapo.. kisha mfikishieni taarifa
Siyo mdau wa matusi, siyo muumini wa kushabikia kuharibiwa kwa nchi, ni muumini wa kutatua changamoto kwa njia ya mazungumzo. Kwa ambaye anaamini katika kufanya vurugu apate haki yake, aendelee na vurugu zake lakini ajue hatoachwa akafanya vile anadhani inafaa, kwasababu wanaohitaji utulivu Tanzania ni wengi kuliko kundi la wachache wanaotaka kufanya vurugu.
 
Na wakulaani zaidi ni wale manyang'au yanayojifanya yanabusara pale CCM na hawa wanaojiita kitengo kukubali apitishwe kihuni kwa awamu hii. Wameshaona uwezo wake mdogo, elimu yake ya hapa na pale, maamuzi ya kusubiri kuambiwa. Walishindwa nini kumdhibiti asichukue fomu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…