Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

Kwahiyo unasema iwapo huu ukondoo a.k.a amani ukiendelea, hilo genge linalojiita system litaendelea kumuweka wamtakaye, lakini kiboko ya hilo genge ni nguvu ya umma?
Napo bila system kuamua hakuna cha umma, umma wenyewe huu wa kuficha id mara ujiite tindo ndo nn sasa. Hao kina lissu mnaowasifia walitakiwa wawepo huko jeshini na kiala sehemu bila kificho hapo mnaweza kufika lengo,sio matusi haya mnayotukana na mnajificha kwenye id ambazo hujui hilo wazo unalochangia linatoka kwa mtu wa aima gani. Tofauti na hapo agiza bia ropoka ukitukana hewani tujutie ndani[emoji867]
 
Nani anaijua system ya Ghadafi ilivyokuwa? Ya bashir, ya sadam, ya Mugabe acheni kupiga porojo hapa, dunia ikikuchoka hasa USA hata ulindwe na malaika, ikulu utaiachia tu utakeusitake.

Namshangaa huyu wa burigi anasesema amewaweza mabeberu, yamkini hawajui mabeberu anawadanganya tu wana ccm waliovimbiwa.

Narudia tena dunia ikimchoka magu hata begi la nguo zake atasahau kubeba
Hiyo dunia ikiichoka tanzania we utakuwa upo mbinguni? Mawazo mengine haya,hapo unaposti upo na msitu wa serengeti labda na malaya pembeni. Wacheni mawazo ya kijinga bana.
 
System imejitahidi kwenda naye wakijua atabadilika lakini wapi
Uliona wapi gunia la misumari likabebeka hata wenzetu nje wanatushangaa tulirogwa vipi kumkabidhi gari dereva kanjanja feki asiyeweza soma hata alama za barabarani
 
Kanuni za kuongoza nchi yeyeto duniani ni mbili tu
1.Usisomeshe namba watu wako
2.Usiwakasirishe wakubwa wa dunia.
Hata huko dunian msione wana uchumi imara,lazima kuna kizazi kilihenyeka sio bure,tunatiana ujinga tu humu. Hata hizo raha kidogo wanazopata wanao jua wewe ulizihenyekea wether pindi unasoma au labda wazazi wako walijinyima.
 
Hiyo dunia ikiichoka tanzania we utakuwa upo mbinguni? Mawazo mengine haya,hapo unaposti upo na msitu wa serengeti labda na malaya pembeni. Wacheni mawazo ya kijinga bana.
Pumbavu ww kutwa kucha tunakemea huyo mtu wenu asiingize nchi yetu matatizoni nyie mmebaki kukenua tu mitano tena , ataenda yeye na wouvu wake na tutamsindikiza hadi airport tukiwa tumebeba begi lake la kubadilishia nguo
 
Heshima kwenu wakuu" system"

Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.

Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na wafuasi wengi lakini mlifanya maamuzi muhimu. Hata hivyo chaguo lililofata nalo limeshindwa kutufikisha Watanzania kwenye lengo.

Ninyi" system" baadhi yenu mmeona wazi wazi Kiongozi mwenye mapenzi mema na chaguo la wananchi kwa sasa.

Tunaomba muendelee kulinda heshima ya nchi yetu.

Akishindwa hakuna haja ya kumbeba mbeleko maana alibebwa na amameshindwa kujibeba na habebeki hata akipewa nafasi nyingine tena. Na akishinda basi tunaomba atangazwe ili sisi watanzania tuendelee na Rais tunayemtaka.

Asanteni na kazi njema.

Keep your eyes open!View attachment 1598315
Umenena vyema mkuu, siyo tu system, watanzania wote tumeona kwa uwazi kabisa jinsi wanavyomtaka Mheshimiwa Rais Magufuli aendelee kuongoza nchi yetu kwa miaka mingine mitano. Watanzania wameamua kuchagua, maji, elimu, afya, miundombinu, uchumi wa kati na mengi kama hayo. Watanzania wamemkataa mwatamia fujo na wakala wa mabeberu. Watanzania wamekataa wazi na tumeona. Tumeona kwa vigezo vyote JPM anavyokubalika kwa wananchi kinyume na wenzake wote. Tunaamini vyombo vyote vitaheshimu maamuzi ya watanzania hao yatakapojidhihirisha kwenye kura.
 
Heshima kwenu wakuu" system"

Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.

Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na wafuasi wengi lakini mlifanya maamuzi muhimu. Hata hivyo chaguo lililofata nalo limeshindwa kutufikisha Watanzania kwenye lengo.

Ninyi" system" baadhi yenu mmeona wazi wazi Kiongozi mwenye mapenzi mema na chaguo la wananchi kwa sasa.

Tunaomba muendelee kulinda heshima ya nchi yetu.

Akishindwa hakuna haja ya kumbeba mbeleko maana alibebwa na amameshindwa kujibeba na habebeki hata akipewa nafasi nyingine tena. Na akishinda basi tunaomba atangazwe ili sisi watanzania tuendelee na Rais tunayemtaka.

Asanteni na kazi njema.

Keep your eyes open!View attachment 1598315
Bonge moja la uzi wa kiungwana ... !!!

Uzi umepenya kama msumari ninaimani "SYSTEM" ina mawakala wake humu ndani "JF"

Kwa uzalendo na kwa maendeleo yetu na ya vizazi vijavyo huu ndio wakati wa kujenga msingi wa Tanzania mpya

Ndugu zangu, wananchi we wenzangu, wazalendo wenzangu mlioko huko kwenye hiyo "SYSTEM" kwa kutumia jicho na sikio lenu la pili, kwa kutumia uwezo wa intelijensia yenu kwa weledi bila ya kuegemea matakwa ya mshika hatamu

Naomba muyaache maji yafuate mkondo wake bila ya kutengeneza mfereji na kuyaelekeza njia nyingine isiyo kua ya asili

Kila la heri katika utendaji wenu kwa maono na usikivu wa kizalendo zaidi

AMEN!!!
 
Pumbavu ww kutwa kucha tunakemea huyo mtu wenu asiingize nchi yetu matatizoni nyie mmebaki kukenua tu mitano tena , ataenda yeye na wouvu wake na tutamsindikiza hadi airport tukiwa tumebeba begi lake la kubadilishia nguo
We jifurahishe tu,utakuja umwa kisukari kwa chuki zako kenge wewe.magu lazima afunge hesabu kumi lazima amalize, wewe hutaki hama nchi. Lissu ndo nani kwanza? Upinzani gani hata ajenda hauna kaz kumsakama magufuli kila leo nyie hamna mpya vibaraka.
 
Mitano tena!!! Hakuna uzwazwa huo. Hapa ni mitano kwanza basi. Ni Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Ni yeye Lissu2020.
"... too late to pull it out ... let it sink for the better of the future ..."

Mitano ampe nani ... KWISHNEI HIYO amechezea bahati tunamtosa kama tunamuona

Nahasira ase!!! Mama yangu kafanya kazi kabla sijazaliwa kama mkunga kaokoa maisha ya watu wengi eti kapigwa chini kiss la saba tena bila hata shukrani da!!! Inauma sana

Jirani yetu kimara kajenga kinyumba chake baada kupata kiinua mgongo chake ghafla kavunjiwa nyumba yake as if sio raia

Kibaya zaidi eti wale wa Mwanza walilindwa kuvunjiwa eti ni wapiga kura wake ... shubaaaamit kwendraaaaaa!!!

Alijihisi ye ni malaika kweli Mxieusssszzzz!!! Tupa huko sisi ndio tunaamua nani atuongoze
 
We jifurahishe tu,utakuja umwa kisukari kwa chuki zako kenge wewe.magu lazima afunge hesabu kumi lazima amalize, wewe hutaki hama nchi. Lissu ndo nani kwanza? Upinzani gani hata ajenda hauna kaz kumsakama magufuli kila leo nyie hamna mpya vibaraka.
For the first time in history only five ... akwende huko hatumtaki
 
Naoba ule mradi wa fear mongering ndio unaendelezwa hapa. Rais mwenyewe JPM, mumuogopeshe kwa vimaneno?! Hapa ni kama kutwangwa maji kwenye kinu mkitegemea yatageuka mpunga mpepete mpate nchele.
 
Kama Raia hawato yatoa Maisha yao kisawa sawa hakuna Utawala utakao badilika ,hawa Jamaa wapo kila Sehemu hiyo pekee inawapa nguvu na urahisi wa kubadili Nyeusi kuwa nyeupe.CCM ni wajanja wamepitisha na wana endelea kupitisha Sheria kandamizi zinazo jenga Mfumo mgumu wa wao kuondolewa Madarakani, msisahau mfanyakazi yeyote anawajibika kwa Boss.
 
Hiyo dunia ikiichoka tanzania we utakuwa upo mbinguni? Mawazo mengine haya,hapo unaposti upo na msitu wa serengeti labda na malaya pembeni. Wacheni mawazo ya kijinga bana.

Tofautisha Tanzania na mtu.
 
Maalim Seif(ACT wazalendo) na Lissu(CHADEMA) mwaka huu ni wenu wa kuwaondoa wakoloni weusi , gogoki4102 kashawaonyesha kila kitu kazi ni kwenu,daftari la ZEC lina wapiga kura feki 135,000,nashangaa mpaka sasa ACT wazalendo hawajafanya analysis yeyote ya wapiga kura,majina feki yaliyomo mule ni ya wafanyakazi wa serikali wa bara including wa vyombo vya usalama, kama sisi ambao ni watu wa kawaida tumegundua inakuwaje mtu kama maalim na Zitto washindwe kugundua? Msikubali CCM wapige kura tar 27 peke yao, narudia tena msikubali....Tar 20 mpaka 27 tutaweka daftari la ZEC na majina ya watu wa bara waliomo kwenye daftari la ZEC.
Yaan how. Mimi huwa sielewi unaposema majina ya watu wa bara. Ina maana wazanzibar waliopo bara hawatakiwi kupiga kura? Mi ninavojua wapiga kura wote wanaruhusiwa kupiga kura mahali walipojiandikisha. Au kwa lugha nyingine mahali ambapo ni makazi yake kwa sasa.
Kama ww ni wa bara lakin for now unafanya kazi au biashara Zanzibar na unaishi uko na ulijiandikisha uko au ulibadili kituo chako cha mpiga kura kuwa Zanzibar baada ya kuhamia au kuhamishiwa uko una haki ya kuchagua mbunge wako, muwakilishi wako, rais wako nk. Kwann uzuiwe. Mi nadhan kama kuna wendawazimu wa aina hii ni bora Zanzibar iwe kama mkoa au wajitoe kabisa kwenye muungano wabaki kivyao.

Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
 
For the first time in history only five ... akwende huko hatumtaki
Unapinga ukiwa gizani? Bado yupo na ataendelea kunyoosha *****,hutaki yupo,utataka ye bado yupo till 2025. Mimi nipo hapa Jf miaka nenda rudi nawachora mnavovimba macho.
 
Hao king makers ndio wametufanya tuishi kama mashetani kwa miaka mingi kwa kuiweka ccm madarakani?????wamefeli sana aiseh!!
Kumbuka, Tume haiwajibiki kumpa kila wakala nakala ya matokeo ni kama itapenda kufanya hivyo. Pia wakala hataruhusiwa kuingia na simu hivyo wala hataweza kupiga picha ya nakala ya matokeo. Hiyo ndiyo system. Magufuli atatangazwa mshindi na system na nyie hamtakuwa na ushahidi wowote!
 
Back
Top Bottom