Napo bila system kuamua hakuna cha umma, umma wenyewe huu wa kuficha id mara ujiite tindo ndo nn sasa. Hao kina lissu mnaowasifia walitakiwa wawepo huko jeshini na kiala sehemu bila kificho hapo mnaweza kufika lengo,sio matusi haya mnayotukana na mnajificha kwenye id ambazo hujui hilo wazo unalochangia linatoka kwa mtu wa aima gani. Tofauti na hapo agiza bia ropoka ukitukana hewani tujutie ndani[emoji867]Kwahiyo unasema iwapo huu ukondoo a.k.a amani ukiendelea, hilo genge linalojiita system litaendelea kumuweka wamtakaye, lakini kiboko ya hilo genge ni nguvu ya umma?
Hiyo dunia ikiichoka tanzania we utakuwa upo mbinguni? Mawazo mengine haya,hapo unaposti upo na msitu wa serengeti labda na malaya pembeni. Wacheni mawazo ya kijinga bana.Nani anaijua system ya Ghadafi ilivyokuwa? Ya bashir, ya sadam, ya Mugabe acheni kupiga porojo hapa, dunia ikikuchoka hasa USA hata ulindwe na malaika, ikulu utaiachia tu utakeusitake.
Namshangaa huyu wa burigi anasesema amewaweza mabeberu, yamkini hawajui mabeberu anawadanganya tu wana ccm waliovimbiwa.
Narudia tena dunia ikimchoka magu hata begi la nguo zake atasahau kubeba
Uliona wapi gunia la misumari likabebeka hata wenzetu nje wanatushangaa tulirogwa vipi kumkabidhi gari dereva kanjanja feki asiyeweza soma hata alama za barabaraniSystem imejitahidi kwenda naye wakijua atabadilika lakini wapi
Kanuni za kuongoza nchi yeyeto duniani ni mbili tuHiyo dunia ikiichoka tanzania we utakuwa upo mbinguni? Mawazo mengine haya,hapo unaposti upo na msitu wa serengeti labda na malaya pembeni. Wacheni mawazo ya kijinga bana.
Hata huko dunian msione wana uchumi imara,lazima kuna kizazi kilihenyeka sio bure,tunatiana ujinga tu humu. Hata hizo raha kidogo wanazopata wanao jua wewe ulizihenyekea wether pindi unasoma au labda wazazi wako walijinyima.Kanuni za kuongoza nchi yeyeto duniani ni mbili tu
1.Usisomeshe namba watu wako
2.Usiwakasirishe wakubwa wa dunia.
Pumbavu ww kutwa kucha tunakemea huyo mtu wenu asiingize nchi yetu matatizoni nyie mmebaki kukenua tu mitano tena , ataenda yeye na wouvu wake na tutamsindikiza hadi airport tukiwa tumebeba begi lake la kubadilishia nguoHiyo dunia ikiichoka tanzania we utakuwa upo mbinguni? Mawazo mengine haya,hapo unaposti upo na msitu wa serengeti labda na malaya pembeni. Wacheni mawazo ya kijinga bana.
Umenena vyema mkuu, siyo tu system, watanzania wote tumeona kwa uwazi kabisa jinsi wanavyomtaka Mheshimiwa Rais Magufuli aendelee kuongoza nchi yetu kwa miaka mingine mitano. Watanzania wameamua kuchagua, maji, elimu, afya, miundombinu, uchumi wa kati na mengi kama hayo. Watanzania wamemkataa mwatamia fujo na wakala wa mabeberu. Watanzania wamekataa wazi na tumeona. Tumeona kwa vigezo vyote JPM anavyokubalika kwa wananchi kinyume na wenzake wote. Tunaamini vyombo vyote vitaheshimu maamuzi ya watanzania hao yatakapojidhihirisha kwenye kura.Heshima kwenu wakuu" system"
Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.
Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na wafuasi wengi lakini mlifanya maamuzi muhimu. Hata hivyo chaguo lililofata nalo limeshindwa kutufikisha Watanzania kwenye lengo.
Ninyi" system" baadhi yenu mmeona wazi wazi Kiongozi mwenye mapenzi mema na chaguo la wananchi kwa sasa.
Tunaomba muendelee kulinda heshima ya nchi yetu.
Akishindwa hakuna haja ya kumbeba mbeleko maana alibebwa na amameshindwa kujibeba na habebeki hata akipewa nafasi nyingine tena. Na akishinda basi tunaomba atangazwe ili sisi watanzania tuendelee na Rais tunayemtaka.
Asanteni na kazi njema.
Keep your eyes open!View attachment 1598315
Bonge moja la uzi wa kiungwana ... !!!Heshima kwenu wakuu" system"
Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.
Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na wafuasi wengi lakini mlifanya maamuzi muhimu. Hata hivyo chaguo lililofata nalo limeshindwa kutufikisha Watanzania kwenye lengo.
Ninyi" system" baadhi yenu mmeona wazi wazi Kiongozi mwenye mapenzi mema na chaguo la wananchi kwa sasa.
Tunaomba muendelee kulinda heshima ya nchi yetu.
Akishindwa hakuna haja ya kumbeba mbeleko maana alibebwa na amameshindwa kujibeba na habebeki hata akipewa nafasi nyingine tena. Na akishinda basi tunaomba atangazwe ili sisi watanzania tuendelee na Rais tunayemtaka.
Asanteni na kazi njema.
Keep your eyes open!View attachment 1598315
We jifurahishe tu,utakuja umwa kisukari kwa chuki zako kenge wewe.magu lazima afunge hesabu kumi lazima amalize, wewe hutaki hama nchi. Lissu ndo nani kwanza? Upinzani gani hata ajenda hauna kaz kumsakama magufuli kila leo nyie hamna mpya vibaraka.Pumbavu ww kutwa kucha tunakemea huyo mtu wenu asiingize nchi yetu matatizoni nyie mmebaki kukenua tu mitano tena , ataenda yeye na wouvu wake na tutamsindikiza hadi airport tukiwa tumebeba begi lake la kubadilishia nguo
"... too late to pull it out ... let it sink for the better of the future ..."Mitano tena!!! Hakuna uzwazwa huo. Hapa ni mitano kwanza basi. Ni Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Ni yeye Lissu2020.
For the first time in history only five ... akwende huko hatumtakiWe jifurahishe tu,utakuja umwa kisukari kwa chuki zako kenge wewe.magu lazima afunge hesabu kumi lazima amalize, wewe hutaki hama nchi. Lissu ndo nani kwanza? Upinzani gani hata ajenda hauna kaz kumsakama magufuli kila leo nyie hamna mpya vibaraka.
Matapeli wakubwa hawa walisoma udhaifu wa meko wakataka kupiga hela tu
Hiyo dunia ikiichoka tanzania we utakuwa upo mbinguni? Mawazo mengine haya,hapo unaposti upo na msitu wa serengeti labda na malaya pembeni. Wacheni mawazo ya kijinga bana.
Na kichwani pake pia hakuna kitu. Jamaa kabeba boksi lililojaa ujeuri usio na tija.System imejitahidi kwenda naye wakijua atabadilika lakini wapi
Yaan how. Mimi huwa sielewi unaposema majina ya watu wa bara. Ina maana wazanzibar waliopo bara hawatakiwi kupiga kura? Mi ninavojua wapiga kura wote wanaruhusiwa kupiga kura mahali walipojiandikisha. Au kwa lugha nyingine mahali ambapo ni makazi yake kwa sasa.Maalim Seif(ACT wazalendo) na Lissu(CHADEMA) mwaka huu ni wenu wa kuwaondoa wakoloni weusi , gogoki4102 kashawaonyesha kila kitu kazi ni kwenu,daftari la ZEC lina wapiga kura feki 135,000,nashangaa mpaka sasa ACT wazalendo hawajafanya analysis yeyote ya wapiga kura,majina feki yaliyomo mule ni ya wafanyakazi wa serikali wa bara including wa vyombo vya usalama, kama sisi ambao ni watu wa kawaida tumegundua inakuwaje mtu kama maalim na Zitto washindwe kugundua? Msikubali CCM wapige kura tar 27 peke yao, narudia tena msikubali....Tar 20 mpaka 27 tutaweka daftari la ZEC na majina ya watu wa bara waliomo kwenye daftari la ZEC.
Mtizamo wako na wala sio mtizamo wa wengi.Tofautisha Tanzania na mtu.
Unapinga ukiwa gizani? Bado yupo na ataendelea kunyoosha *****,hutaki yupo,utataka ye bado yupo till 2025. Mimi nipo hapa Jf miaka nenda rudi nawachora mnavovimba macho.For the first time in history only five ... akwende huko hatumtaki
Kumbuka, Tume haiwajibiki kumpa kila wakala nakala ya matokeo ni kama itapenda kufanya hivyo. Pia wakala hataruhusiwa kuingia na simu hivyo wala hataweza kupiga picha ya nakala ya matokeo. Hiyo ndiyo system. Magufuli atatangazwa mshindi na system na nyie hamtakuwa na ushahidi wowote!Hao king makers ndio wametufanya tuishi kama mashetani kwa miaka mingi kwa kuiweka ccm madarakani?????wamefeli sana aiseh!!