Tahadhari: Teja akikuomba pesa mpatie, hachelewi kukusingizia unauza madawa

Bado siwezi kutoa buku.
Ushahidi wa teja hautoshi kunifanya mimi nishtakiwe, haya mambo ni mambo yenye uzito sio kama wizi wa biskuti

Tunaongelea kupoteza muda.

Kwani wengine hutowa za "ku polish viatu" kwa sababu ya muda tu si kuwa wana makosa.

Ni vyema ukiwa na msimamo.
 
Wana jamii wote tahadhari kubwa sana ichukuliwe pale teja la madawa ya kulevya (maaruf "unga") litapokuja "kukupiga mzinga" (kukuomba pesa) hususan kama tulivyowazoea omba yao kubwa ni "Buku".

Usifanye ubahili wakati huu kwani ukimuudhi tu na akienda kusema wewe ndiye unamuuzia unga utajiunga na fiesta kule central police station.

Mpe hiyo "buku" na kama hauna japo kamkopee, maana wana hasira kwani ni lazima unga utakuwa adimu mitaani kwa trend hii ya bwana Makonda inavyoenda na arosto waliyonayo, mateja wanaweza kufanya lolote la ajabu.

Tahadhari sana. Hii siyo joke.
Tutafika huko.Serikali baada kutumia uwezo wake kuwatibu hawa wagonjwa,wanatimia nguvu kubwa kuwakashifu eaia wake,bila ya wanunuzi hao wanaouza watauza wapi

Tuhuma,dhana,kupashana,kuonyeshana vidole ni tabia za watanzani na sasa hizi tabia imeingia kwe serikali
 
Naona na wewe sasa umekuwa Andrea, unapost kitu kiko kwenye mabano, wengine hatuna utaalamu huo wa kufungua mabano, nakusihi utufungulie hayo mabano.
 
Cku hizi mpaka uchunguzi ukamilike na wewe utakua umenyea debe mpaka umechoka bola umpe tu kuepusha makuu
Unachekesha wewe kwanza huyo teja nimekutana nae wapi na wakati huo ananiripoti Polisi niko wapi, ye anajuwa mi nakaa wapi au nimetokea wapi?
 
Tutafika huko.Serikali baada kutumia uwezo wake kuwatibu hawa wagonjwa,wanatimia nguvu kubwa kuwakashifu eaia wake,bila ya wanunuzi hao wanaouza watauza wapi

Tuhuma,dhana,kupashana,kuonyeshana vidole ni tabia za watanzani na sasa hizi tabia imeingia kwe serikali

Serikali imewawekea programu za kupata dozi za madawa ya kuwasaidia "meladon". Soma.
 
Naona na wewe sasa umekuwa Andrea, unapost kitu kiko kwenye mabano, wengine hatuna utaalamu huo wa kufungua mabano, nakusihi utufungulie hayo mabano.

Jaribu tena baadae.
 
Mmmh hizo ni ndoto za alnacha.... sina mazoea na teja la aina yoyote halijui naishi wapi.... sina hili wala lile aniombe elf hivi hivi nimpe salaleeee aichore chini..... uzuri wngu huwa hata siwageukii mara mbili
 
Unachekesha wewe kwanza huyo teja nimekutana nae wapi na wakati huo ananiripoti Polisi niko wapi, ye anajuwa mi nakaa wapi au nimetokea wapi?

Labda wewe umebahatika huna ndugu, jamaa au rafiki na pia mtaani kwenu hakuna teja.

Wengine tuna watu wetu wa karibu kabisa ambao ni mateja na hii inatuhusu sana.

Hongera sana.
 
Serikali imewawekea programu za kupata dozi za madawa ya kuwasaidia "meladon". Soma.
Hizo "metadon" sio "meladon" ziko muda mwingi tu,uvutaji unga sio starehe ni ugonjwa serikali bado haijatumia nguvu zake,hebu fikiria mteja wa kigamboni akachukue "meladon" hospitali ya temeke,mteja gani atafanya hivyo
 
Mmmh hizo ni ndoto za alnacha.... sina mazoea na teja la aina yoyote halijui naishi wapi.... sina hili wala lile aniombe elf hivi hivi nimpe salaleeee aichore chini..... uzuri wngu huwa hata siwageukii mara mbili

Labda wewe umebahatika huna ndugu, jamaa au rafiki na pia mtaani kwenu hakuna teja.

Wengine tuna watu wetu wa karibu kabisa ambao ni mateja na hii inatuhusu sana. Kumbuka, mimi ni wa Kariakoo.

Hongera sana.
 
Labda wewe umebahatika huna ndugu, jamaa au rafiki na pia mtaani kwenu hakuna teja.

Wengine tuna watu wetu wa karibu kabisa ambao ni mateja na hii inatuhusu sana.

Hongera sana.
Basi ndo mjipange nahizo buku buku sasa ila kwangu wameula wa chuya.
 
Wana jamii wote tahadhari kubwa sana ichukuliwe pale teja la madawa ya kulevya (maaruf "unga") litapokuja "kukupiga mzinga" (kukuomba pesa) hususan kama tulivyowazoea omba yao kubwa ni "Buku".

Usifanye ubahili wakati huu kwani ukimuudhi tu na akienda kusema wewe ndiye unamuuzia unga utajiunga na fiesta kule central police station.

Mpe hiyo "buku" na kama hauna japo kamkopee, maana wana hasira kwani ni lazima unga utakuwa adimu mitaani kwa trend hii ya bwana Makonda inavyoenda na arosto waliyonayo, mateja wanaweza kufanya lolote la ajabu.

Tahadhari sana. Hii siyo joke.
Huyo teja yuko mtaani kwenu au jirani yako? Kuna mateja kibao hapo Kinondoni manyanya wanaomba hela kila siku na siwapi wakaseme. Kwanza hanijui,kanikuta kituo cha bus anapiga mzinga wa buku, kwahio nikimwambia sina napanda bus ataenda kusemaje huko polisi?

Hao mateja wenyewe hata nguvu ya kutembea hadi kituo cha polisi hana afadhali asubiri aje mtu mwingine ampige mzinga!
 
Hizo "meladon" ziko muda mwingi tu,uvutaji unga sio starehe ni ugonjwa serikali bado haijatumia nguvu zake,hebu fikiria mteja wa kigamboni akachukue "meladon" hospitali ya temeke,mteja gani atafanya hivyo

Well, kwa sasa hiyo ni issue iliyopo na zaidi ni nia, hata Kinondoni na Muhimbili wanatoa hiyo tiba. Kuwacha uteja kwanza utake mwenyewe, pil, hizi jitihada za Serikali na hususan Makonda tuziunge mkono sote.

Serikali si ya kuilamu kwa hilo, haikukufundisha uteja na inajitahidi na tunaona jitihada zilizopo.
 
Back
Top Bottom