kwahyo wewe ni ''teja'' la nini...................?Mimi ni mteja wa vingi tu lakini si "teja" la madawa ya kulevya.
Bado siwezi kutoa buku.
Ushahidi wa teja hautoshi kunifanya mimi nishtakiwe, haya mambo ni mambo yenye uzito sio kama wizi wa biskuti
Tutafika huko.Serikali baada kutumia uwezo wake kuwatibu hawa wagonjwa,wanatimia nguvu kubwa kuwakashifu eaia wake,bila ya wanunuzi hao wanaouza watauza wapiWana jamii wote tahadhari kubwa sana ichukuliwe pale teja la madawa ya kulevya (maaruf "unga") litapokuja "kukupiga mzinga" (kukuomba pesa) hususan kama tulivyowazoea omba yao kubwa ni "Buku".
Usifanye ubahili wakati huu kwani ukimuudhi tu na akienda kusema wewe ndiye unamuuzia unga utajiunga na fiesta kule central police station.
Mpe hiyo "buku" na kama hauna japo kamkopee, maana wana hasira kwani ni lazima unga utakuwa adimu mitaani kwa trend hii ya bwana Makonda inavyoenda na arosto waliyonayo, mateja wanaweza kufanya lolote la ajabu.
Tahadhari sana. Hii siyo joke.
Naona na wewe sasa umekuwa Andrea, unapost kitu kiko kwenye mabano, wengine hatuna utaalamu huo wa kufungua mabano, nakusihi utufungulie hayo mabano.Wana jamii wote tahadhari kubwa sana ichukuliwe pale teja la madawa ya kulevya (maaruf "unga") litapokuja "kukupiga mzinga" (kukuomba pesa) hususan kama tulivyowazoea omba yao kubwa ni "Buku".
Usifanye ubahili wakati huu kwani ukimuudhi tu na akienda kusema wewe ndiye unamuuzia unga utajiunga na fiesta kule central police station.
Mpe hiyo "buku" na kama hauna japo kamkopee, maana wana hasira kwani ni lazima unga utakuwa adimu mitaani kwa trend hii ya bwana Makonda inavyoenda na arosto waliyonayo, mateja wanaweza kufanya lolote la ajabu.
Tahadhari sana. Hii siyo joke.
Unachekesha wewe kwanza huyo teja nimekutana nae wapi na wakati huo ananiripoti Polisi niko wapi, ye anajuwa mi nakaa wapi au nimetokea wapi?Cku hizi mpaka uchunguzi ukamilike na wewe utakua umenyea debe mpaka umechoka bola umpe tu kuepusha makuu
haya msomi wa jamii forum......................Nisome tena post uliyoijibu, unaonesha unachokisoma hukielewi kwa mara moja.
Tutafika huko.Serikali baada kutumia uwezo wake kuwatibu hawa wagonjwa,wanatimia nguvu kubwa kuwakashifu eaia wake,bila ya wanunuzi hao wanaouza watauza wapi
Tuhuma,dhana,kupashana,kuonyeshana vidole ni tabia za watanzani na sasa hizi tabia imeingia kwe serikali
Kimeniingia nini?Umekisoma kimekuingia na ukakijibu.
Kwani teja ni mmoja tu?Unachekesha wewe kwanza huyo teja nimekutana nae wapi na wakati huo ananiripoti Polisi niko wapi, ye anajuwa mi nakaa wapi au nimetokea wapi?
Unachekesha wewe kwanza huyo teja nimekutana nae wapi na wakati huo ananiripoti Polisi niko wapi, ye anajuwa mi nakaa wapi au nimetokea wapi?
Hizo "metadon" sio "meladon" ziko muda mwingi tu,uvutaji unga sio starehe ni ugonjwa serikali bado haijatumia nguvu zake,hebu fikiria mteja wa kigamboni akachukue "meladon" hospitali ya temeke,mteja gani atafanya hivyoSerikali imewawekea programu za kupata dozi za madawa ya kuwasaidia "meladon". Soma.
Mmmh hizo ni ndoto za alnacha.... sina mazoea na teja la aina yoyote halijui naishi wapi.... sina hili wala lile aniombe elf hivi hivi nimpe salaleeee aichore chini..... uzuri wngu huwa hata siwageukii mara mbili
Basi ndo mjipange nahizo buku buku sasa ila kwangu wameula wa chuya.Labda wewe umebahatika huna ndugu, jamaa au rafiki na pia mtaani kwenu hakuna teja.
Wengine tuna watu wetu wa karibu kabisa ambao ni mateja na hii inatuhusu sana.
Hongera sana.
Huyo teja yuko mtaani kwenu au jirani yako? Kuna mateja kibao hapo Kinondoni manyanya wanaomba hela kila siku na siwapi wakaseme. Kwanza hanijui,kanikuta kituo cha bus anapiga mzinga wa buku, kwahio nikimwambia sina napanda bus ataenda kusemaje huko polisi?Wana jamii wote tahadhari kubwa sana ichukuliwe pale teja la madawa ya kulevya (maaruf "unga") litapokuja "kukupiga mzinga" (kukuomba pesa) hususan kama tulivyowazoea omba yao kubwa ni "Buku".
Usifanye ubahili wakati huu kwani ukimuudhi tu na akienda kusema wewe ndiye unamuuzia unga utajiunga na fiesta kule central police station.
Mpe hiyo "buku" na kama hauna japo kamkopee, maana wana hasira kwani ni lazima unga utakuwa adimu mitaani kwa trend hii ya bwana Makonda inavyoenda na arosto waliyonayo, mateja wanaweza kufanya lolote la ajabu.
Tahadhari sana. Hii siyo joke.
Hizo "meladon" ziko muda mwingi tu,uvutaji unga sio starehe ni ugonjwa serikali bado haijatumia nguvu zake,hebu fikiria mteja wa kigamboni akachukue "meladon" hospitali ya temeke,mteja gani atafanya hivyo