DOKEZO Tahadhari: Unakula kuku au vibudu?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Uwii Nimepata kinyaa.
Nimekumbuka nilivyokuwa naokota kuku bandani wakiwa wamedondoka, roho inauma hata kubeba siwezi.

Kumbe ndio tunaolishwa mijini[emoji23][emoji23]
Mi ndo maana huwa sili kuku mtaani,,ntakula mishkaki ya ng'ombe tu.
umekimbia bandani unaenda kula vibudu vya puguu
 
Wazungu kufananisha ngozi nyeusi na nyani hawaku kosea kabisa.

Akili za mwafrika nadhani hata wanyama wanatuzidi.

Yaki tokea magonjwa ya mlipuko, watu wana anza kukesha makanisani kukemea pepo, kumbe ni vibudu wanavyo lishwa.
 
Waafrika wana ishi kimazoea sana bila kufuata kanuni za kiafya na ulaji.

Halafu wana dai Mungu ana walinda.

Waki anza kuumwa na kudondoka kama kuku, ndio hukimbilia makanisani kudhani wana mapepo ya ugonjwa.

Kumbe ni ujinga wa kuishi ki mazoea kutojali kanuni za Afya na ubora wa vyakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…