jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #21
Kama ulifungua account lazma utakuwa umeandika warithi wa fedha zako hivyo hao ndo wana haki ya kuzichukua fedha zako baada ya kuthibitisha kuwa umefarikiUtapeli wa mabenki
Hapa ninachojiuliza ni kuwa .....Nina pesa nying kwenye account .....na hyo ni siri yangu...( kama kawaida wabongo kuficha siri kuhusu pesa zangu)
Je siku nikifariki ......benk inapeleka WAP ....fedha zanguuuu
Sijatajeliwa kwa wakati mmoja ndugu nmeshare tu experience yanguUnatapeliwaje kilofa hivyo zaidi ya mara moja
Hakuna pahala nmesema kwa wakati mmoja ila umetapeliwa mara nyingi kwa mbinu za kawaidasijatajeliwa kwa wakati mmoja ndugu nmeshare tu experience yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] vipi Vaseline ilihusika ama?
Kumbe nawe umeona mkuu, hadi nkaona nimuulize jamaa dukani kanunua sh. ngapi maana anasema et ina wiki mbili tu.[emoji38]Mkuu ile samsung s8 ya laki 2 usiinunue usije ukapigwa tena[emoji23]
Eeh muwe makiniKumbe nawe umeona mkuu, hadi nkaona nimuulize jamaa dukani kanunua sh. ngapi maana anasema et ina wiki mbili tu.[emoji38]
Utapeli wowote huwa una kitu kimoja ambacho ni common: Tamaa ya kupata kitu kizuri kwa gharama ndogo. Ukiweza kudhibiti hili hata waje na mbinu gani hawakupati.Hata wew unaweza kuwa victim wa utapeli mda wowote. Usinambie we ni clever insuch eti huwezi kupigwa never! watu wanatumia akili mpya kilasiku omba hyo mbinu mpya wasianzie kuitumia kwako
sasa hivi nimekuwa makini mno yani watu hawaaminikiKumbe nawe umeona mkuu, hadi nkaona nimuulize jamaa dukani kanunua sh. ngapi maana anasema et ina wiki mbili tu.[emoji38]
Huyu Dada page yake Ina vitu vizuri mno..yaani mno.. Binafsi kuna wakati nilitaka kununua kitu kwake.. nikaona mlolongo wa mambo sana.. alipost bidhaa nikamwambia naweza kuja kulipia na kuondoka nayo kabisa?Akaniambia nitume hela then bidhaa nitafata kesho yake.. nikaona kuna jambo si bure.. sikuhangaika..Yupo dada ana page insta anajiita Veethriftstore anauza vitu used. Jina lake halisi ni Victoria. Nilitaka kununua washing machine used mwezi wa 6 akadai hela kabla nikarusha, delivery akasema baada ya siku 2. Mpaka leo siku 2 hazijafika na kufatilia refund ofisini kwake nikakuta mtu mwingine naye anadai refund amekata mpaka RB.Mimi nikaambiwa mzigo wangu haujafika. Baada ya kufatilia sana kwa simu, maana ofisini hawafungui tena hata geti, nikajibiwa nisimtishe. Bado namwona yupo insta analiza watu kule...ila dawa yake inachemka
Namfaham ofis zake c ziko msasani ... huyu dada yeye vitu vingi anavyopost ..huwa anatumiwa picha .mfano hata ww ukiwa na kitu chako unakiuza ukimfuata dm mkaelewana bei ,atakipost kwenye page yake then anaongeza commission yake ..then mteja akikipenda atatakiwa alipie kwanz then ndo akifuate ......huu utaratibu wake wa kulipia kwanza ndo unao mcost coz sometimes inatokea ..mmliki wa kitu ana gairi kukiuza kitu chake ..na hapo ndo matatizo yanapoanziagaYupo dada ana page insta anajiita Veethriftstore anauza vitu used. Jina lake halisi ni Victoria. Nilitaka kununua washing machine used mwezi wa 6 akadai hela kabla nikarusha, delivery akasema baada ya siku 2. Mpaka leo siku 2 hazijafika na kufatilia refund ofisini kwake nikakuta mtu mwingine naye anadai refund amekata mpaka RB.Mimi nikaambiwa mzigo wangu haujafika. Baada ya kufatilia sana kwa simu, maana ofisini hawafungui tena hata geti, nikajibiwa nisimtishe. Bado namwona yupo insta analiza watu kule...ila dawa yake inachemka
Ukimkamata mle "ndogo" kavukavu ngese sana huyo anadhani pesa zinapatikana kiurahisi.Yupo dada ana page insta anajiita Veethriftstore anauza vitu used. Jina lake halisi ni Victoria. Nilitaka kununua washing machine used mwezi wa 6 akadai hela kabla nikarusha, delivery akasema baada ya siku 2. Mpaka leo siku 2 hazijafika na kufatilia refund ofisini kwake nikakuta mtu mwingine naye anadai refund amekata mpaka RB.Mimi nikaambiwa mzigo wangu haujafika. Baada ya kufatilia sana kwa simu, maana ofisini hawafungui tena hata geti, nikajibiwa nisimtishe. Bado namwona yupo insta analiza watu kule...ila dawa yake inachemka
Benk kuna Utaratibu wa kupitia account zote zilizo Dormant Kwa miezi zaid ya 12 kuna next of Kin wanawasiliana naye kujua taarifa zake ! Nimefanya I know! Tatizo liko Mpesa na Tigo pesa wanakausha na mpunga wako bWachache sana wanaotoa taarifa zao za kifedha kwa familia.....
Mpige mabanzi ya kumshtuaJamaa kajiingiza kwenye mercury huko, akikusimulia jinsi atakavyopata 500milioni unajiuliza hivi huyu anadhani pesa inakuja kirahisi hivi? Mwambie sasa unaenda kupigwa uone atavyokudharau..
mbona mimi hakunambia hayoNamfaham ofis zake c ziko msasani ... huyu dada yeye vitu vingi anavyopost ..huwa anatumiwa picha .mfano hata ww ukiwa na kitu chako unakiuza ukimfuata dm mkaelewana bei ,atakipost kwenye page yake then anaongeza commission yake ..then mteja akikipenda atatakiwa alipie kwanz then ndo akifuate ......huu utaratibu wake wa kulipia kwanza ndo unao mcost coz sometimes inatokea ..mmliki wa kitu ana gairi kukiuza kitu chake ..na hapo ndo matatizo yanapoanziaga