Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
Nawashangaa sana hasa watanzania wanaopenda kuchukuliwa na kila aina ya upepo. Hii ni dini, paganism, kuna watu wanaonekana kuhamasika na kuanza kujifunza au kujaribu wakati huo huo wanajiita wakristo! Hakika hamjui mlitendalo! Soma hapa:
Meditation - Wikipedia, the free encyclopedia
Kuna aina nyingine ya paganism inayofanana na hii nayo ni scientology: Scientology - Wikipedia, the free encyclopedia na zingine Pasco alishawahi kuzielezea zinaitwa psychic powers: List of psychic abilities - Wikipedia, the free encyclopedia
Hizi ni imani za kipagani, nazo ni derivatives au components za wicca: Wicca - Wikipedia, the free encyclopedia, witchcraft: Witchcraft - Wikipedia, the free encyclopedia, spells: Spell (paranormal) - Wikipedia, the free encyclopedia na magic: Magic (paranormal) - Wikipedia, the free encyclopedia
Halafu Mtambuzi unadriki kusema wakristo wanatumia rozari! Rozari ndio nini na wapi wakristo wameambiwa waitumie kwenye Biblia? Sema Waroma (organization) sio wakristo.
Jamani waonyeni watu wasiende katika njia hizi ziendazo upotevuni.
CC: warumi, Samaritan, Majimoto, Himidini, Ablessed, everlenk, LORDVILLE
Wacha wee...
Unaogopa nini?
Last edited by a moderator: