TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

kama uko free on weekends na kama upo dar tunaweza kuorganise meditation retreat session na wengine watakaopenda mahali popote nje ya mji

kaka mpk tuende nje ya mji? km wapi ss, wk end huwa nakua free sometimes
 
kaka mpk tuende nje ya mji? km wapi ss, wk end huwa nakua free sometimes

Meditation inahitaji utulivu mkubwa na mazingira ambayo ni natural si lazima iwe mbali lakini pawe ni mahali pakubwa kwa ajili ya kufanya walking meditation pia
 
Meditation inahitaji utulivu mkubwa na mazingira ambayo ni natural si lazima iwe mbali lakini pawe ni mahali pakubwa kwa ajili ya kufanya walking meditation pia
basi itabid tupange kaka
 
Mkuu mwaka jana, wapi Yesu alisema tumwombe yeye?!. Nijuavyo mimi Yesu alisema, chochote mtakachoomba kwa Baba yangu, kupitia kwangu, mtapewa!.

Pasco

Pasco kuna watu wamefungwa kwenye nira za imani, lakini natamani mno kama watanzania wengi wangeifahamu meditation kama ilivyo bila kuihusisha na imani yeyote ingekuwa ni hatua moja mbele
 

The Last days: Countdown To Eternity - Bible Prophecy Documentary - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtambuzi yote uliyoyasema ni ya ukweli ila mimi nina kurekebisha kidogo Neno (Tahajudi) Sio neno la Kiingereza ni neno la Kiaarabu, maana ya Tahajudi ni Swala inayoswaliwa usiku wa manane kwa Waislam. Tahajudi sio Neno la Kiingereza ni neno la Kiarabu .
 
Last edited by a moderator:
Very interesting, baadhi ya shule za seminary wanafanya walking meditation

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ahsante sana sana sana na ubarikiwe mkuu kwa kunifumbua macho kwani nlikua nafanya hii kitu bila kujijua. sasa ntaifanya kwa bidii huku nkikijua nnachofanya. baadh ya sehemu nliyowah kutumia hii kitu mfano nlipokua nasoma nliweza kufaulu sana nkizama kweny macho ya mawazo na kuuona mtihani siku moja kabla. hakika nliukuta kama nlivyosoma kwa bidii sehemu zilezile kama nlivyouona kwenye macho ya mawazo. nlipata 96% ilikua mwaka 2010 form two. Sikuelewa kilichotokea na nlijua ni muujiza tu kumbe ni tahajud nliyofanya bila kujua.
Nakumbuka pia mwaka 2012 nikiwa form four nliweza kuzama katika fikra na na nkajitabiria matokeo yangu ya mtihan wa geograph. nkawaambia watu kimasihala assemble na tulivyo gawiwa mitihani nlikuta maksi ileile. hakika yamenitokea mengi mazuri na mabaya kwa njia hyo na nlikua nkiyaona kabla katka macho ya mawazo. ila sikujua kua ni tahajud mpaka leo hii 2015. naiona post hii na ninagundua kilichokua kikinitokea. shukrani sana kwa post hii nitaweza kujifanyia tahajud ya kuniletea mazur
 
Pasco lakini mbona husemi ni wapi pameandikwa kuwa Yesu alifanya meditation?

soma kitabu cha (Yoshua 1:8) (Zaburi 1🙂 Alafu unadhani kwanini Yesu alikua anapenda kwenda bustani ya getsemane?

Huwezi kuwana Nguvu za Mungu kama wewe humeditation Neno la Mungu kaka.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…