TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

kwangu mm nilifanya Sana mpaka ukafika muda nikawa najihisi Niko empty Fulani HV sina hata feeling Kama zamani nikitukanwa nilikuwa napanda na hasira Sana ila nilivyofanya meditation MTU akinitukana sihisi kitu chochote kile dah mpaka nikaogopa nikaacha ila nimeanza tena upya
 

Rooted words in a deep truth.

Thanks for your brilliant comment.
 
Rooted words in a deep truth.

Thanks for your brilliant comment.
Thanks but mengi nimejifunza from your posts nguvu ya akili[emoji4] ...be blessed abundantly.
 
Inaweza kuwa kweli but not that simple. Najua umesoma vitabu mbalimbali lakini tambua kuwa it is not that simple, there is a price to pay. Jifungie ndani full time kwa mwaka mzima ukifanya meditation bila kwenda kufanya kazi tuone kama hata chakula utapata. Lau hayo unayosema ni kweli basi asiyeamini mauti maana yake hata kufa! Apart from believing but ACTION is must! Naruadia tena Action is must!
Halafu tuwe makini mafunzo mengi ya meditation yanahusisha imani za kishetani, tuwe makini tusijekuwa miongoni mwa walioasi. Be careful, an empty mind can be a door for evil spirits.
 
Kikubwa hakuna meditation iliyo mbaya ila meditation yoyote inafanywa kwa kusudio au dhamira maalumu kwahio zinatafautiana kulingana na lengo pamoja na object ya meditation mfano kuna meditation ya pumzi mpaka meditation ya nuru na sauti nadhifu

Kuhusu mfuniko ni mengi na yanategemea na mtu binafsi kwani ladha ya chungwa anaijua mla chungwa

Madhara yakuacha na kutokufanya kwa wakt ni ile relief na love unayoipata though meditation nafkir ukiacha uta sense kuna kitu Kikubwa kimekosekana kwenye utu wako

Anaye fanya kila siku lazm awe tofauti na anayefanya mara chache kwa sababu moja ya Faida kubwa mtu anaye practice meditation anapata Ni pamoja nakuwa positive siku nzima ndo maana inashauriwa kufanya asubuhi na jioni kwa sababu kwa asubuhi inakufanya uwe positive though out the day
 
Ndugu endelea kupractice tu maana meditation ina effect mbali mbali kwa watu tofauti kulingana na subconscious mind zetu zilivyo haribiwa kikubwa meditation ina clean takataka ambazo tumeziweka kwenye mind zetu
 
Hivi hizo meditation sio against na Mungu kweli? mshana jr ni mkweli unaweza kusema kitu hapa
Hapana siyo against na mungu kabisa tena na kwakishia meditation inakutransform na kukufanya uwe a Godly person kwa vitendo siyo kwa kuongea maana km utafanya jambo lolote baya kwa ndugu yako au kwa nafsi yako basi huwezi kuwa comfortable km una meditate
 
hio kitu ni nzuri sana kuna kipindi nilifululiza kufanya aisee mpaka nikaogopa coz kuna vitu vingi unaweza kuvicontro kupitia hio kitu ila kwa sasa nimeacha kutokana na mazingira niliopo
Ndugu keep on practicing meditation can do more than that
 
Hii kitu mpaka leo nashindwa elewa ni nini hasa. Mara kujifungia ndani kukaa kimya, mara kutoa mawazo kichwani mwako hata sielewagi.
Kwa kutumia akili ni ngumu kuilewa hata ukisoma vitabu vipi huwezi kuelewa bila ku practice hii ni practical siyo theory
 
Dah ndugu hiyo stage uliyo kuwa umefikia ni nzur sanaaa kujiisi uko empty ni realization kubwa sana keep it up
 
Ndugu usiwe ignorant kiasi hicho ku conclude vitu usivyo vijua hawa wanaozungumza wamefanya wewe unaonekana unaijua meditation sana kuliko mtu anaye practice wakt wewe hupractice anyway meditation is not about concepts or facts bt is action and practices
 
Kwa wale wanaotaka kujua zaidi juu ya meditation na namna yakufanya ipasavyo mnaweza mka Google na mtapata kufahamu mengi zaidi, kwa walio na wasiwasi kwamba lmda kuna nguvu za giza jibu ni hapana na kikubwa hapo ni Ile hali ya wewe kuwa katika uhusiano wa deep kifikra na mother nature ambayo ni dunia na mazingira yake . Sasa kwa wanaopata tabu ktk kuona maruerue nikwasanabu mfumo wetu wakimaisha umetuweka juu juu yaani hamna mda wa kujitafakari kiundani na shida hasa Ile hali ya ukimya na kujisikiliza vijana wengi wamezoea kelele ndo maana ata akiwa peke yake utamkuta na earphone anasikiliza miziki soo no time for Self silent .Always learn to be with nature and learn about nature u will feel da change
 
tatizo nikitaka kufanya mawazo mengine yanaingilia kati yaani hata sijafaulu kufanya japo natamani
Wote ambao tunaanza kufanya kwa mara ya kwanza mawazo yanaingia kati kikumba usiweke akili yako kwenye mawazo lkn zingatia pumz na umakini wako uwe kwenye pumz inavyotoka na kuingia wazo lolote likija let it go na urejeshe umakini wako kwenye pumzi
 
Well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…