Yupo bado kalala maana jana alikua vibe sana / kalewa
Hapa hakuna cha waziri wala nini...ile kauli ya Mzee Warioba imedhihirika kwamba, 'Ni kama vile nchi inaongozwa na Jeshi la Polisi'.Hivi Waziri wa mambo ya nchi alisemaje? Mbona wakaidi hawa? Ngoja uone rungu la waziri litakavyowaangukia
Kwa hatua walipo fikia polisi hakuna mamlaka yeyote wanayo isikiliza isipo kuwa abdul na samiaHivi Waziri wa mambo ya nchi alisemaje? Mbona wakaidi hawa? Ngoja uone rungu la waziri litakavyowaangukia
Kama taratibu hazijafuatwa utaitaje?Nauliza tu, siku hizi mtu yeyote akikamatwa na polisi maana yake ametekwa?.
Unajua taratibu za ukamataji kisheria? Watu wanakuja kwako, wanavunja mlango, wanakubeba juju baada ya kukupiga sana,kisha wanakutupa kwenye gari na kukupeleka pasipojulikana! Huyo anakuwa amekamatwa kisheria? Mwingine walikaa naye kwa zaidi ya siku 30 huku wakikana kumshikilia,ndipo wakaja kukiri kuwa naye baada ya kelele nyingi za raia,hao watu hawana tofauto na majambazi.Nauliza tu, siku hizi mtu yeyote akikamatwa na polisi maana yake ametekwa?.
Hivi Waziri wa mambo ya nchi alisemaje? Mbona wakaidi hawa? Ngoja uone rungu la waziri litakavyowaangukia