Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

Unajua taratibu za ukamataji kisheria? Watu wanakuja kwako, wanavunja mlango, wanakubeba juju baada ya kukupiga sana,kisha wanakutupa kwenye gari na kukupeleka pasipojulikana! Huyo anakuwa amekamatwa kisheria? Mwingine walikaa naye kwa zaidi ya siku 30 huku wakikana kumshikilia,ndipo wakaja kukiri kuwa naye baada ya kelele nyingi za raia,hao watu hawana tofauto na majambazi.

Mnaongea tuh kama mafala...wewe una ushahidi gani wa huo mlango uliovunjwa..?kila siku mmekaa kutia huruma na kuchafua serikali mmbwa nyinyi
 
Kama ulishiriki kwenye zile vurugu za 29 Oktoba 2025, na kuendelea kuchochea machafuko ya D9 na D25 kwa namna moja au nyingine ni suala la muda tu. Wasije kusema umetekwa, mnarudi huku kwasababu kuna amani kungekuwa kumechafuka msingerudi, kwahiyo mfahamishane huko mlipo siyo mnakazi ya kujazana ujinga kwenye nchi za watu.
 
HIi nchi kwa kweli tuikomnoa, maana walioiteka ni mashetani kuliko shetani yeyote. Haya majitu yanayoteka watu hovyo, yakiachwa, Taifa litaangamia. Nchi ikombolewe na haya mashetani ambayo yamekuwa yakifanya huu ushenzi itabidi yakamatwe yawajibike kwa uovu wao.
 
Nchi iangamie mara ngapi mkuu.

Tunasubiri yazuke magenge ya uporaji kama Haiti ili kila mtu ajibebee chake
 
Kuhamasisha maandamano ni kosa kwa sheria ipi?

Pia this time mmenyea kwenye sufuria la pilau

Sheria ya Jeshi la Polisi (Police Force and Auxiliary Services Act)​

Sheria haisemi unapaswa kuomba "Kibali" (Permission), bali inataka utoe "Taarifa" (Notice).

Utaratibu: Unapaswa kutoa taarifa kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) saa 48 kabla ya maandamano. Wajibu wa Polisi: Kisheria, kazi ya polisi ni kutoa ulinzi kwa waandamanaji na siyo kuzuia, isipokuwa tu kama kuna ushahidi wa wazi kuwa maandamano hayo yataleta uvunjifu wa amani.

HITIMISHO:
Kama Walitoa taarifa Polisi naomba uweke ushahidi hapa
 
UMeanza kuishi jana ndo maana unauliza maswali like footless chicken
 
Ukiwa unatokea Marekani kuja Tanzania ujipange
Kwa nini watu wanapendapenda sana kurudirudi Bongo kila mara, hususan wakati huu ambapo inajulikana Tanzania is a police state?

Mimi naingia mwaka wa 13 sijakanyaga Tanzania, hata likizo naishia kwenda Turks and Caicos.

Na sijapungukiwa kitu.

Kwa nini watu wengine hawawezi kukaa nje muda nrefu bila kurudi Tanzania na wengine tunaweza?

Is it family dynamics? Nostalgia? Business? Au watu wanataka kujimwayamwaya Tanzania kuwa wamekaa Marekani na wana uraia?
 
Vibaka wa policcm wameshasema wanaye makosa wanayosema ni ya jinai ambayo jinai yenyewe hawaisemi.

Sasa unamtekaje mtu maana huko sio kukamata mtu na husemi makosa yake?
 
Kwa nini watu wanapendapenda sana kurudirudi Bongo kila mara, hususan wakati huu ambapo inajulikana Tanzania is a police state?

Mimi naingia mwaka wa 13 sijakanyaga Tanzania, hata likizo naishia kwenda Turks and Caicos.

Na sijapungukiwa kitu.

Kwa nini watu wengine hawawezi kukaa nje muda nrefu bila kurudi Tanzania na wengine tunaweza?

Is it family dynamics? Nostalgia? Business? Au watu wanataka kujimwayamwaya Tanzania kuwa wamekaa Marekani na wana uraia?
Au watu wanataka kujimwayamwaya Tanzania kuwa wamekaa Marekani na wana uraia?📌

Kama hakuna ulazma wa kurudi bongo Bora ubaki nje
 
Au watu wanataka kujimwayamwaya Tanzania kuwa wamekaa Marekani na wana uraia?📌

Kama hakuna ulazma wa kurudi bongo Bora ubaki nje
Exactly,

Sasa na uchawi wote huu wa kutekana kama hakuna ulazima, unarudi Bongo umesahau nini?

Tena siku hizi teknolojia mpaka vijijini kuna Whatsapp kama watu wanataka kuongea nawe wanaongea hata kwa videocall, na kama wana shida miamala unatuma, urudi Bongo kizembezembe umesahau nini?
 
Policcm wanapenda sana hizi mambo za kukamata watu hovyo kwa makosa ya kipuuzi. Ukiwauliza watoe tafsiri sahihi ya neno uchochezi sidhani kama wanayo.
 
Back
Top Bottom