Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Hii ipo toka wakat wa Magufuri,wengi wanaogopa kuja tzUkiwa unatokea Marekani kuja Tanzania ujipange
Hii ipo toka wakat wa Magufuri,wengi wanaogopa kuja tzUkiwa unatokea Marekani kuja Tanzania ujipange
Wenzako wana hela weweKwa nini watu wanapendapenda sana kurudirudi Bongo kila mara, hususan wakati huu ambapo inajulikana Tanzania is a police state?
Mimi naingia mwaka wa 13 sijakanyaga Tanzania, hata likizo naishia kwenda Turks and Caicos.
Na sijapungukiwa kitu.
Kwa nini watu wengine hawawezi kukaa nje muda nrefu bila kurudi Tanzania na wengine tunaweza?
Is it family dynamics? Nostalgia? Business? Au watu wanataka kujimwayamwaya Tanzania kuwa wamekaa Marekani na wana uraia?
Kwa nini watu wanapendapenda sana kurudirudi Bongo kila mara, hususan wakati huu ambapo inajulikana Tanzania is a police state?
Mimi naingia mwaka wa 13 sijakanyaga Tanzania, hata likizo naishia kwenda Turks and Caicos.
Na sijapungukiwa kitu.
Kwa nini watu wengine hawawezi kukaa nje muda nrefu bila kurudi Tanzania na wengine tunaweza?
Is it family dynamics? Nostalgia? Business? Au watu wanataka kujimwayamwaya Tanzania kuwa wamekaa Marekani na wana uraia?
Kama nchi haiwapi wananchi wake uhuru wa kuhamasisha maandamano, nchi hiyo si salama.Tanzania ni salama na watu kibao kutoka USA wanakuja na kurudi
Isipokuwa huyo NYUMBU ALIKUWA AKIHAMASISHA MAANDAMANO
Kama nchi haiwapi wananchi wake uhuru wa kuhamasisha maandamano, nchi hiyo si salama.
Uhuru huo ni uhuru wa kikatiba, maandamano ni haki ya kikatiba.
Hujui hili?
Huelewi wapi?
Wewe ndiye nyumbu hapa.
Unafanya hivi kwa ujinga bure au wewe chawa unalipwa?
Unapoteza mda wako kujadili jambo na huyo KIAZIKama nchi haiwapi wananchi wake uhuru wa kuhamasisha maandamano, nchi hiyo si salama.
Uhuru huo ni uhuru wa kikatiba, maandamano ni haki ya kikatiba.
Hujui hili?
Huelewi wapi?
Wewe ndiye nyumbu hapa.
Unafanya hivi kwa ujinga bure au wewe chawa unalipwa?
Polisi wasiokuwa na utambulisho wa polisi wakikuchukwa utasema umekamatwa na polisi?Nauliza tu, siku hizi mtu yeyote akikamatwa na polisi maana yake ametekwa?.
Maana ya salama ni kitu gani?HAPA TANZANIA NI SALAMA
Maana ya salama ni kitu gani?
Wewe ukishakula na kumsifia Samia, hiyo ndiyo salama?
Hata haieleweki mtindo huu unafaida zipi; lengo lake hasa ni nini?Unajua taratibu za ukamataji kisheria? Watu wanakuja kwako, wanavunja mlango, wanakubeba juju baada ya kukupiga sana,kisha wanakutupa kwene gari na kukupeleka pasipojulikana! Huyo anakuwa amekamatwa kisheria? Mwingine walikaa naye kwa zaidi ya siku 30 huku wakikana kumshikilia,ndipo wakaja kukiri kuwa naye baada ya kelele nyingi za raia,hao watu hawana tofauto na majambazi.
Umekuwa kioja sasa; hivi unatambua hivyo?Hakika Ila inatafakarisha kuandika habari za UONGO.
Amekamatwa akapelekwa kwenye kituo gani cha polisi? Kama wanaficha huko sio kuteka?Nauliza tu, siku hizi mtu yeyote akikamatwa na polisi maana yake ametekwa?.
Umekuwa kioja sasa; hivi unatambua hivyo?
Huyu Samia mnayempigania hivi, kweli anayo thamani ya mapenzi thabiti mioyoni mwenu, au ndio basi tu mradi mjionyeshe kuwa na hali hiyo huku mioyoni mwenu mkisononeka kama waTanzania wengine wote wanavyosononeka kuhusu hali hii inayolikumba taifa letu?
Kuingia, kusoma na kuchangia kwenye Jukwaa la JF. Hiyo ni sababu tosha kabisa ya wewe "kutekwa"; au unasemaje wewe?Hahaha Mimi nitekwe kwa sababu zipi ?
Unaandika vitu kama mtu mpuuzi puuzi sana wewe.MKUU FANYA KAZI ZAKO KAMA UTASHINDWA KUTAJIRIKA WAKATI HUU UJUE TATIZO NI WEWE
MFUMO WA SASA UPO VIZURI
SASA UNAKAA KATIKA KUJADILI SIASA PEKEE NA KUSUBIRI HELA ZA MAANDAMANO
HAPO LAZIMA UMUONE RAIS MBAYA BUT STAY ON THE LINE
MAMA WA AFRICA HAJAWAHI KUFELI NA ANAFANYA KAZI NJEMA YA KUWAHUDUMIA WATANZANIA
Kuhamasisha maandamano ni uhuru wa kikatiba Tanzania.FALLACY
MIMI NAKUPA UKWELI WEWE UNAONGEA MAMBO YA KUFIRIKA
HAPA TANZANIA NI SALAMA
SIO KILA ANAYEZUNGUMZA UHALISIA NI KALIPWA AU UNAMBATIZA JINA LA CHAWA HAMTAKI KUSIKIA UKWELI.
Kuhamasisha maandamano ni uhuru wa kikatiba Tanzania.
Kama unabisha dai kifungu cha katiba tubishane kwa vifungu vya katiba.
Unaandika vitu kama mtu mpuuzi puuzi sana wewe.
Hiyo hali uliyotaja wewe ndiyo kipaumbele chako maishani mwako?
Hujui kuwa ninaweza kukununua na kukufanya mtumwa wangu tu kwa bei yoyote kama hiyo ndiyo thamani ya utu wako?
Kwa hiyo kutwa nzima upo hapa Jukwaani kwa kuwa hao waarabu wanazo pesa za kukununua uonekane wewe ni tajiri, au siyo?
Hii ndiyo 'mentality' ya ajabu sana ambayo hata imeibuka kutoka wapi; na Samia ndiyo kaiweka mbele kabisa kuwadhalilisha watu na akili zao kama akina Mwigulu na wengineo kama wewe.
Katika hali ya kawaida ningechukulia kama utani; lakini kwa watu wa aina yako; huu ndio uamini mlionao katika maisha yenu!
Siku zote ninaposema wewe ni nguruwe tu; sasa unathibitisha mwenyewe hapa kwa fikra za namna hii.
Hatuwezi kuwa na taifa la watu wapuuzi namna hiyo.
UNATUMIA VIGEZO GANI KUSEMA MIMI NI CHAWA NA NIMELIPWA.?Kuhamasisha maandamano ni uhuru wa kikatiba Tanzania.
Kama unabisha dai kifungu cha katiba tubishane kwa vifungu vya katiba.