Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Kukuita chawa ni kukuheshimu, wewe ni maviUNATUMIA VIGEZO GANI KUSEMA MIMI NI CHAWA NA NIMELIPWA.?
Kukuita chawa ni kukuheshimu, wewe ni maviUNATUMIA VIGEZO GANI KUSEMA MIMI NI CHAWA NA NIMELIPWA.?
Kama maandamano yenyewe ni kama yaliyo tokea tarehe 29 basi bora hicho kifungu kifutwe, maana yaliyo fanywa hiyo tarehe kwa kisingizio cha kudai haki hayana tofauti yanayo fanywa na magaidi ya boko haramu kwa kisingizio cha kudai haki.Kama nchi haiwapi wananchi wake uhuru wa kuhamasisha maandamano, nchi hiyo si salama.
Uhuru huo ni uhuru wa kikatiba, maandamano ni haki ya kikatiba.
Hujui hili?
Huelewi wapi?
Wewe ndiye nyumbu hapa.
Unafanya hivi kwa ujinga bure au wewe chawa unalipwa?
Watu kufanya fujo katika maandamano hakuondoi haki ya kikatiba ya watu kuandamana. Na kuna watu wengi wameandamana bila fujo.Kama maandamano yenyewe ni kama yaliyo tokea tarehe 29 basi bora hicho kifungu kifutwe, maana yaliyo fanywa hiyo tarehe kwa kisingizio cha kudai haki hayana tofauti yanayo fanywa na magaidi ya boko haramu kwa kisingizio cha kudai haki.
UNATUMIA VIGEZO GANI KUSEMA MIMI NI CHAWA NA NIMELIPWA.?
Kitendo cha kuandamana bila kufuata utaratibu ulio wekwa kisheria tiyari ni fujo.Watu kufanya fujo katika maandamano hakuondoi haki ya kikatiba ya watu kuandamana. Na kuna watu wengi wameandamana bila fujo.
Kwa nini unashindwa kutenganisha mambo?
Kitendo cha kuandamana bila kufuata utaratibu ulio wekwa kisheria tiyari ni fujo.
Kwa hiyo ww mtoto wako ana haki ya kudai haki kwako kwa kuchoma gali yako na duka lako ili kuwasilisha madai yake?
Eti mtoto? acha ujinga,haki haitoki serikalini au kwa viongozi, kuna kitu kinaitwa katibaKitendo cha kuandamana bila kufuata utaratibu ulio wekwa kisheria tiyari ni fujo.
Kwa hiyo ww mtoto wako ana haki ya kudai haki kwako kwa kuchoma gali yako na duka lako ili kuwasilisha madai yake?
Inawezekana kabisa watu kuamua kuwa wanataka kufanya vitu hivi ili kumulika maovu.Ila kiukweli bwana Kweka kafanya makosa ya kiusalama kwa upande wake.
Alitakiwa afanye tathmini nzima ya umuhimu wa kwenda kwao, hata kama ni lazima kila mwaka.
Nitoe ushauri tu kwa wana JF ambao wajianika katika Social Media kwamba zipo taarifa za kijasusi kwamba nchi rafiki zimetoa msaada wa Apps za kutrack na kufuatilia. Hizi taarifa ni exclusive na za kuaminika kabisa kwani kuna watu "special task force" kwa ajili ya kazi hii wakishirikiana na TCRA na kampuni za simu.
Hili nimeliongelea sana humu na please wana JF chukueni tahadhari.
Halafu weye unaejaribu kila mara kunitumia ujumbe wataka nikutumie hela nakuonya acha kabisa mambo hayo, mie sina hizo dola 5 au 10.
Mwisho, nafunguka kwamba kumekuwa na pilikapilika za kumtafuta Richard ni nani. Nliingia JF mwaka 2006 ni kitambo sana nimejizatiti kistratejia, hivyo guys be cool.
Nawashukuru sana JF kwa kunishauri pia kubadili PW ambayo siku za hivi karibuni imekuwa kwenye majaribu mengi na ninyi wajamaa wacheni hizo "pinging".
Uhalali au uharahu wa kitu unatokana na ulivyo kitekeleza ,kwa hiyo kwa sababu sheria inakupa uhuru wa kufanya mapenzi ili mradi mmekubaliana ,basi una uhuru wa kwenda kufanya mapenzi na mtoto wa miaka 7 kwa kisingizio cha kukubaliana?Utaratibu gani uliowekwa na sheria? Sheria gani?
Kuandamana ni haki ya kikatiba. Utaratibu gani uliowekwa na sheria unaousema?
Weka sheria hapa tuichambue usiongee mambo kijumlajumla tu.
Kuhusu kufanya fujo.
Kuna watu wengi wameandamana bila kufanya fujo.
Hao waliofanya fujo kuna sheria za kuwashitaki kwa fujo walizofanya. Na mtu yeyote anaweza kufanya fujo. Kuna wengine wanafanya fujo makusudi kuyachafua maandamano, kwa sababu zao za kisiasa. Wengine ni wajinga tu. Wengine washenzi tu. Wengine wanaona kufanya fujo ni political expression.
Deal na anayefanya fujo bila kumnyima anayetaka kutumia haki yake ya kikatiba ya kuandamana bila kufanya fujo
Wewe nikikwambia usitoke nje siku yoyote kwa sababu kuna watu wakitoka nje wanaibia wenzao utakubali? Si utasema niachieni haki yangu ya kutoka nje, hao wanaoiba washikeni muwashitaki kwa wizi wao? Mimi simo kwenye wizi wao? Basi na wanaoandamana bila fujo wana haki hiyo hiyo ya kuachwa waandamane, hao wanaoleta fujo wakamatwe na kushitakiwa kwa mujibu wa sheria.
Na fujo hizo haziondoi haki za watu kuandamana, na kuna watu wengi wameandamana bila kufanya fujo.
Sasa kwa nini unataka kulazimisha kuwa kuandamana ni sawasawa na kufanya fujo?
Lakini katiba hiyo hiyo ina sema neno la raisi ni sheria hivyo akitamka kuwa maandamano ni haramu basi hiyo ni sheria na unatakiwa kuifuata.Eti mtoto? acha ujinga,haki haitoki serikalini au kwa viongozi, kuna kitu kinaitwa katiba
Utaratibu wa kisheria ni kuvitaarifu vyombo vya usalama vifanye tathmini kuwa maandamano yafanyike au yasifanyike?Uhalali au uharahu wa kitu unatokana na ulivyo kitekeleza ,kwa hiyo kwa sababu sheria inakupa uhuru wa kufanya mapenzi ili mradi mmekubaliana ,basi una uhuru wa kwenda kufanya mapenzi na mtoto wa miaka 7 kwa kisingizio cha kukubaliana?
Utaratibu wa kisheria ni kuvitaarifu vyombo vya usalama kuwa mnataka kufanya maandamano yatafanyika terehe fulani kuanzia saa ngapi na yatatamatika saa ngapi na kwenye eneo fulani sasa baada ya hapo vyombo vya usalama ndo vitafanya tathimini iwapo hayo maandamano yafanyike au yasifanyike kutokana na hali ya usalama wa sehemu husika.
Hao waandamanaji mbona wao hawakujali haki za watz wengine walio enda kupiga kula?
Mbona hawakujali haki ya watz wengine kupenda chama kingine tofauti na wanacho kiamini wao kwa kuwaita machawa?
Sasa utafanyaje maandamano bila kuvitaarifu vyombo vya vya usalama ambavyo ndo vina jukumu la kuyalinda hayo maandamano ili yasitumike kama furusa ya wahuni kufanya uharifu?Utaratibu wa kisheria ni kuvitaarifu vyombo vya usalama vifanye tathmini kuwa maandamano yafanyike au yasifanyike?
Sheria gani hii?
Iweke hapa tuijadili usiweke maneno jumlajumla na habari za kusema kwa mazoea kwa sababu kuna mambo mengi Watanzania mnafanya kwa mazoea ukitafuta sheria hakuna.
Sasa weka hapa sheria inayosema ukitaka kufanya maandamano toa taarifa vyombo vya usalama wafanye tathmini maandamano yafanyike au yasifanyike.
Itaje na iweke hiyo sheria hapa tuichambue.
Usilete maneno ya blablaa ya kukaririshana vijiweni tu.
Siamini kama kuna watu wajinga kama wewe, na inaonekana mpo wengi humu, rudi shuleLakini katiba hiyo hiyo ina sema neno la raisi ni sheria hivyo akitamka kuwa maandamano ni haramu basi hiyo ni sheria na unatakiwa kuifuata.
Noma sanaKuingia, kusoma na kuchangia kwenye Jukwaa la JF. Hiyo ni sababu tosha kabisa ya wewe "kutekwa"; au unasemaje wewe?
Ni kweli si kosa na ni halali kabisa kwa watanzania waishio nje kurudi nyumbani kwa sababu yoyote ile.Kurudi nyumbani kwenu kwa sababu yoyote ile si kosa na si jambo la ajabu.
Na kila mtu huwa ana sababu zake na kila mtu ana haki ya kurudi kwao kwa kiasi atakacho yeye mwenyewe.
Ambao hawataki kurudi kwao walikotoka, iwe kwa sababu yoyote ile, nayo ni sawa tu.
Watu hawapaswi kuwa na hofu ya kurudi makwao walikotoka.
Huyo dogo ni zaidi ya nguruwe ,aliwachota wengi humu Kua ana akili mingi kumbe KIAZI tuUnaandika vitu kama mtu mpuuzi puuzi sana wewe.
Hiyo hali uliyotaja wewe ndiyo kipaumbele chako maishani mwako?
Hujui kuwa ninaweza kukununua na kukufanya mtumwa wangu tu kwa bei yoyote kama hiyo ndiyo thamani ya utu wako?
Kwa hiyo kutwa nzima upo hapa Jukwaani kwa kuwa hao waarabu wanazo pesa za kukununua uonekane wewe ni tajiri, au siyo?
Hii ndiyo 'mentality' ya ajabu sana ambayo hata imeibuka kutoka wapi; na Samia ndiyo kaiweka mbele kabisa kuwadhalilisha watu na akili zao kama akina Mwigulu na wengineo kama wewe.
Katika hali ya kawaida ningechukulia kama utani; lakini kwa watu wa aina yako; huu ndio uamini mlionao katika maisha yenu!
Siku zote ninaposema wewe ni nguruwe tu; sasa unathibitisha mwenyewe hapa kwa fikra za namna hii.
Hatuwezi kuwa na taifa la watu wapuuzi namna hiyo.
Hizi ndio akili za viongozi na wapiga kura wa CCM, acha tuoge matope tuuLakini katiba hiyo hiyo ina sema neno la raisi ni sheria hivyo akitamka kuwa maandamano ni haramu basi hiyo ni sheria na unatakiwa kuifuata.