TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.
1000163399.png

Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona.

Kitendo hiki kwa namna yake kitakuwa ni symbolic na kitakuwa kinagusa misingi ya uhai wa CCM.
 
Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.View attachment 3522268

Mungu ibariki nchi yetu ya asili Tanganyika! Mungu ifubaze nchi chotara ya Tanzania
 
Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.View attachment 3522268

Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona.

Kitendo hiki kwa namna yake kitakuwa ni symbolic na kitakuwa kinagusa misingi ya uhai wa CCM.
Chadema simamieni sera katika ujenzi wa chama chenu, hizi siasa za taharuki hazitawasaidia.
 
YOTE , TISA KUMI , TUENDELEE KUMSAPOTI MAMA WA AFRICA , RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN TANZANIA KWANZA AMANI KWANZA.🇹🇿
 
Nyoosha maelezo tu kuwa vijana wameamua kujipandishia bendera ya tanganyika nyumbani kwao, sio wameshusha ya ccm na kupandisha ya kwao
 
Back
Top Bottom