TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

CCM wanaiogopa Tanganyika sana...

Kwenye uhuru waliogopa hata kusema tarehe 9 December siku ya Uhuru wa Tanganyika
Nilishangaa, eti uhuru wa Tanzania Bara! Hivi Mjerumani alitawala nchi iliyoitwa Tanzania Bara? Sasa wale walimu waliofundisha Tanganyika walikuwa wanadanganya?
 
Chadema simamieni sera katika ujenzi wa chama chenu, hizi siasa za taharuki hazitawasaidia.
Kama kila tukio kubwa na lenye lengo zuri linatendwa na Chadema na kwa uwingi wa watu, CCM ina watu kweli?

Kama kila tukio zuri linafanywa na Chadema, maana yake ccm imejikita kufanya matukio maovu pekee?

Kuuwa watu na kuteka watu ni matukio ya kiouvu yanayofanywa CCM

Kuuza maliasili za nchi yetu hayajafanywa na Chadema nayo yanafanyika chini ya CCM

Wizi wa kura mmefanya nyinyi CCM ambapo pia ni haramu

Ufisadi n.k ni wenu CCM

Kwa nini usiungane na Chadema wanaofanya mambo mema na ambayo ni manufaa pia kwa kizazi chako?
 
KAZI na utu,tunasongambele,Na utu wetu ni "siasa isilipe kuliko ueledi,siasa haizalishi kama ueledi"
 
Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.View attachment 3522268

Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona.

Kitendo hiki kwa namna yake kitakuwa ni symbolic na kitakuwa kinagusa misingi ya uhai wa CCM.
Beautiful
 
Upepo wa kuifanya bendera ipepe hivyo, lazima hayo majani ya miti nayo yangekua yanapepea uelekeo wa bendera.

AI hio
 
Umeandika vizuri ila hujataja sehemu (kijiji,kata, wilaya au mkoa) waliopandisha bendera.
 
Kama Zanzibar wanavyofanya bidii kuprint zile bender zao. Nasisi huku Tanganyika tunaomba bendera za Tanganyika zianzekupatikana kirahisi ili .Utanganyika wetu uendelee kuwepo
 
Back
Top Bottom