DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hakika utapata makala mbali mbali za kumjua vizuri mama wa Africa ambaye taarifa zinaonesha ndo Rais Pekee kutoka Africa anaogopwa na wazunguNiende wapi sheikh na Mimi nashinda 24/7
Hakika utapata makala mbali mbali za kumjua vizuri mama wa Africa ambaye taarifa zinaonesha ndo Rais Pekee kutoka Africa anaogopwa na wazunguNiende wapi sheikh na Mimi nashinda 24/7
Hapo kwanza ncheke hahahaaHakika utapata makala mbali mbali za kumjua vizuri mama wa Africa ambaye taarifa zinaonesha ndo Rais Pekee kutoka Africa anaogopwa na wazungu
Na mimi nataka moja nyumbani kwanguKuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.View attachment 3522268
Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona.
Kitendo hiki kwa namna yake kitakuwa ni symbolic na kitakuwa kinagusa misingi ya uhai wa CCM.
Hizi unaweza kuunda au kuagiza China.Na mimi nataka moja nyumbani kwangu
Nimeiona mtandaoni so, tusubiri kama itakanushwaKuumnemba flani kwenye hiyo picha
Sana... Ndio maana Wazanzibari wanatunyonya.. hawa vijana tuwape moyo kama kweli wasipige picha usiku iwe mchanaNyerere alizingua sana kuizika Tanganyika yetu
Hivi hizi bendera zinapatikana wapi
Kosa kubwa la CCM ni kuamini vyama vya upinzani ndio maadui wao.Hata mimi nashangaa. Ni nani huyo anayezitengeneza hizo bendera!?
Tatizo maCCM wako busy kupambana na Chadema wakati wanaachia matundu kibao ya wao kushambuliwa.
Nanyi chama wezi wakura rudini kwenye misingi ya uchaguzi,huru,haki,uwazu na usawaChadema simamieni sera katika ujenzi wa chama chenu, hizi siasa za taharuki hazitawasaidia.
Taharuki ya nini, wakati bendera ni tamu hivi 😊😊😊.Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.View attachment 3522268
Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona.
Kitendo hiki kwa namna yake kitakuwa ni symbolic na kitakuwa kinagusa misingi ya uhai wa CCM.
Zitungwe nyimbo za Tanganyika, watoto wafundishwe majumbani kuhusu Tanganyika, na iwe marufuku kutumia neno Tanzania katika mazungumzo.hakika inapendeza sana pendera yetu ya Tanganyika ☝️🫂
Ninaipenda sana Tanganyika yangu, haswa baada ya Kizimkazi kuonesha wazi kuwa utawala wake huku ni kwa ajili ya maslahi mapana ya familia yake na Zanzibar kwa ujumla wake.Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.View attachment 3522268
Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona.
Kitendo hiki kwa namna yake kitakuwa ni symbolic na kitakuwa kinagusa misingi ya uhai wa CCM.
Basi AI imekuwa sanaNinaipenda sana Tanganyika yangu, haswa baada ya Kizimkazi kuonesha wazi kuwa utawala wake huku ni kwa ajili ya maslahi mapana ya familia yake na Zanzibar kwa ujumla wake.
Pamoja na hayo, Hii picha sio halisi bali ina vionjo vya AI.
Ukiangalia bendera ilivyosimama, na miti ilivyotulia, ni matukio mawili yanayokinzana. Labda hiyo bendera iwe ni ya bati.
Yote kwa yote ujumbe umefika, watu wameshaanza kuitamani Tanganyika yao.
Umeongea maneno ya maanaHakuna ubaya nchi ambayo imo ndani ya Jamhuri ya Muungano raia wake kupandisha bendera kuhifadhi utambulisho wao ndani ya Muungano
Nchi nyingi za mfumo wa shirikisho au muungano hazitaharuki kuona bendera za majimbo au nchi zilizounda muungano.
Mfano mojawapo kati ya mingi, Majimbo mengi nchini Marekani yana bendera zake pamoja na ile ya Shirikisho Federal
Samia asipate kisingizio kutuma vikosi vya mauaji. Bendera ya Tanganyika ni utambulisho kama ile bendera ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo ipo ndani ya Muungano