TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

Na mimi nataka moja nyumbani kwangu
 
 
Afu ambacho ccm hawajui ni kwamba bado wanaamin yote yaliyotokea kuanzia 29 oct wanaamin ni chadema

Hawajui kwamba hawa magenz hata hawana chama
 
Hivi hizi bendera zinapatikana wapi

Hata mimi nashangaa. Ni nani huyo anayezitengeneza hizo bendera!?

Tatizo maCCM wako busy kupambana na Chadema wakati wanaachia matundu kibao ya wao kushambuliwa.
 
Hata mimi nashangaa. Ni nani huyo anayezitengeneza hizo bendera!?

Tatizo maCCM wako busy kupambana na Chadema wakati wanaachia matundu kibao ya wao kushambuliwa.
Kosa kubwa la CCM ni kuamini vyama vya upinzani ndio maadui wao.

Nasikia kuna bendera kadhaa zimeingia nchini na kuna mpango wa baadhi ya maafisa wa jeshi kupiga picha wakidai marekebisho makubwa ya Katiba.
 
Taharuki ya nini, wakati bendera ni tamu hivi ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

Hayo mazazibari ni kuachana nayo tu ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ.
 
Ninaipenda sana Tanganyika yangu, haswa baada ya Kizimkazi kuonesha wazi kuwa utawala wake huku ni kwa ajili ya maslahi mapana ya familia yake na Zanzibar kwa ujumla wake.

Pamoja na hayo, Hii picha sio halisi bali ina vionjo vya AI.
Ukiangalia bendera ilivyosimama, na miti ilivyotulia, ni matukio mawili yanayokinzana. Labda hiyo bendera iwe ni ya bati.
Yote kwa yote ujumbe umefika, watu wameshaanza kuitamani Tanganyika yao.
 
Basi AI imekuwa sana
 
Hakuna ubaya nchi ambayo imo ndani ya Jamhuri ya Muungano raia wake kupandisha bendera kuhifadhi utambulisho wao ndani ya Muungano

Nchi nyingi za mfumo wa shirikisho au muungano hazitaharuki kuona bendera za majimbo au nchi zilizounda muungano.

Mfano mojawapo kati ya mingi, Majimbo mengi nchini Marekani yana bendera zake pamoja na ile ya Shirikisho Federal

Samia asipate kisingizio kutuma vikosi vya mauaji. Bendera ya Tanganyika ni utambulisho kama ile bendera ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo ipo ndani ya Muungano
 
Umeongea maneno ya maana
 
Nyerere mpumbavu kabisa,kakubali kuua Tanganyika kisa Urais wa JMT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ