Animal Farm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 975
- 1,146
Nilishangaa, eti uhuru wa Tanzania Bara! Hivi Mjerumani alitawala nchi iliyoitwa Tanzania Bara? Sasa wale walimu waliofundisha Tanganyika walikuwa wanadanganya?CCM wanaiogopa Tanganyika sana...
Kwenye uhuru waliogopa hata kusema tarehe 9 December siku ya Uhuru wa Tanganyika
CCM ni laanaNilishangaa, eti uhuru wa Tanzania Bara! Hivi Mjerumani alitawala nchi iliyoitwa Tanzania Bara? Sasa wale walimu waliofundisha Tanganyika walikuwa wanadanganya?
Kama kila tukio kubwa na lenye lengo zuri linatendwa na Chadema na kwa uwingi wa watu, CCM ina watu kweli?Chadema simamieni sera katika ujenzi wa chama chenu, hizi siasa za taharuki hazitawasaidia.
Dikteta wa dunia, kwanza umepiga kura? Au unataka mama akose tuzo?YOTE , TISA KUMI , TUENDELEE KUMSAPOTI MAMA WA AFRICA , RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN TANZANIA KWANZA AMANI KWANZA.🇹🇿
BeautifulKuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.View attachment 3522268
Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona.
Kitendo hiki kwa namna yake kitakuwa ni symbolic na kitakuwa kinagusa misingi ya uhai wa CCM.
Hao sio Chadema, ni umma wa Watanzania Vs ccmChadema simamieni sera katika ujenzi wa chama chenu, hizi siasa za taharuki hazitawasaidia.
Huyo huyo mnywa damu au yupo mwingine?YOTE , TISA KUMI , TUENDELEE KUMSAPOTI MAMA WA AFRICA , RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN TANZANIA KWANZA AMANI KWANZA.🇹🇿
Tyrant of YearYOTE , TISA KUMI , TUENDELEE KUMSAPOTI MAMA WA AFRICA , RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN TANZANIA KWANZA AMANI KWANZA.🇹🇿
Kama ni kweli inabidi wawe salamaUmeandika vizuri ila hujataja sehemu (kijiji,kata, wilaya au mkoa) waliopandisha bendera.
Uzuri wa hilo tukio nini? Nyie watu mbona vichwa vyenu mmebeba makamasi badala ya ubongo?Kama kila tukio zuri linafanywa na Chadema, maana yake ccm imejikita kufanya matukio maovu pekee?