Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

Kwa jinsi ninavyofahamu Narumu ni kijiji cha ndani ndani huko kwahiyo kuwekewa lami wakati kutoka Sumbawanga kwenda Kalambo hakuna lami sio sawa. Waache ubinafsi kwasababu barabara ya kutoka Njiapanda (machine tools) hadi geti la Kinapa kuna lami.
 
Huo ujinga wenu wa Sumbawanga usiwaletee wachaga, wao wana mashule, hospitali, umeme, maji na lami.

Mliozoea shida bakini wenyewe na shida zenu.
 
Kwa jinsi ninavyofahamu Narumu ni kijiji cha ndani ndani huko kwahiyo kuwekewa lami wakati kutoka Sumbawanga kwenda Kalambo hakuna lami sio sawa. Waache ubinafsi kwasababu barabara ya kutoka Njiapanda (machine tools) hadi geti la Kinapa kuna lami.
Wewe endelea kuwa chawa wa mama, iache jamii inayojielewa idai maendeleo na si kujipendekeza
 
Kwa jinsi ninavyofahamu Narumu ni kijiji cha ndani ndani huko kwahiyo kuwekewa lami wakati kutoka Sumbawanga kwenda Kalambo hakuna lami sio sawa. Waache ubinafsi kwasababu barabara ya kutoka Njiapanda (machine tools) hadi geti la Kinapa kuna lami.
Kama mapato yao yanatosha kutengenezewa barabara isifanyike kisa shinyanga mjini hakuna barabara 🙂
 
Hatuna utani na pesa.
Tunajenga lami kwa pesa za watanzania ambazo ni zetu.
Hapana mie najua mnajichanga tu wenyewe huko. Sio misallocations of resources kuleta lami kijijini kweli na huku Kuna sehemu hazina maji Safi. Kama pesa niza watanzania nadhani haijakaa sawa kabisa kutakuwa Kuna mtu analazimisha kuleta lami huko huku Kuna zahanati kibao sio salama kwa mama zetu kujifungulia.kutakuwakuna mkono wa mtu sio bure analazimisha tu hela ziende huko kisa tu anayo mandate
 
Back
Top Bottom