Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

Hii picha IPO Facebook tangu novemba 22, 2022, kwenye akaunti moja inaitwa Mumbai wanyoke nadhani ni waganda.

View attachment 2483657
Pamoja na hiyo lengo lao la kutuma ujumbe kwa wahusika limemitia maana Diwani, mhandisi na viongozi wengine walitoka ofisini na kukimbilia huko fasta. Kingine kwa kuwa picha imesambaa mpaka kwa wakubwa ni wazi kwamba hata kama haitowekwa lami itawekwa walau maram na matengenezo mengine maana viongozi wetu huku mikoani na wilayani wataogopa kutumbuliwa.
 
Wamepanda taharuki tuu
Wamefundishwa hivyo.
Mpiga picha akamatwe na ahojiwe kuhusu hilo.
 
Back
Top Bottom