Kwani mimi nikichanjwa wewe shida yako ni nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wewe hela huna sema unasubiri chanjo za BURE..na chanjo ya Corona SIO BURE KAZI UNAYO.
Watu wamewekeza hela zao nyingi kwenye hizo chanjo wanataka hela zao zirudi.
Wewe gonga malimao yako gonga tangawizi zako
Kwa hiyo shida si chanjo bali umasikini wetu siyo?Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao.
Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo Bollen Ngetti amesema;
"Tunaweza kutofautiana katika mambo mengi ya kiitikadi, kimtazamo na maono lakini katika mambo ya msingi kwa nchi kama hili la chanjo ni sharti tuungane kuwa kitu kimoja".
Aidha, Ngetti ambaye ni mwandishi wa habari nchini amesema Watanzania wasikimbilie tu athari za kiafya kwa chanjo hiyo na badala yake waangalie athari za kiuchumi.
"Tutambue kuwa dunia iko katika vitu kubwa ya kiuchumi. Kama Tahuri hatutajikita sana katika athari za kiafya za chanjo hiyo lakini tufikirie ni fedha kiasi gani chanjo hiyo itaswaga?"
"Ikumbukwe kwamba, kwa mujibu wa WHO ili nchi za ki-Afrika kupata chanjo kutoka makampuni yaliyojiorodhesha kwenye mkataba wa COVAX ambayo ni BioNTech na Moderna itazigharimu kiasi cha Dola za Marekani kati ya 7-11 kwa chanjo moja".
Ngetti ameendelea kusema, "kwa Tanzania pekee kama Rais Magufuli ataruhusu chanjo itatugharimu Tsh104Trilioni kwa idadi ya watu wetu nchi nzima. Hii ni fedha nyingi sana kwa nchi changa kama sisi".
Ngetti amefafanua kuwa fedha hizo zitatakiwa kukopwa kutoka Benki ya Dunia kwa udhamini wa ADB na itachukua miaka zaidi ya kumi kuzirejesha kwa riba ya asilimia 7.2.
Aidha, Ngetti amehoji, "kama nia njema kwa nini wazungu wamekimbilia kutafuta chanjo badala ya tiba kamili? Walijua kwa tiba utahitaji dozi chache sawa na idadi ya walioambukizwa ambao kwa sasa ni milioni 100 lakini kinga utacheza namba ya watu duniani".
"Jambo la pekee kama Taifa tunalotakiwa kufanya ni kufuata masharti ya kujikinga huku tulifanya kazi kwa bidii, huu ni upepo unaovuma na kupita, tusiondoshwe kwenye reli".
Ngetti amemaliza kwa kusema, "Magufuli si kichaa, wala hana historia ya ukichaa, anatutakia mema tusimvunje moyo. Lakini pia wataalamu wetu nao wakeshe maabara kukuna vichwa aidha kuchunguza chanjo hizo au kugundua za kwetu kama Waganda wanavyofanya"
My Take: Kwa vita hii tutashuhudia na kusikia mengi. Vita hii ya Magu na wanasayansi itaibua makubwa. Subiri tuone!
Biashara na mtambo wa kugerenete pesa za kutatua matatizo yanayomkabili binadamu mkuu yaani makert based soln.Katika gani lingine linalomhusu mtu ambayo si biashara?Corona ni BIASHARA.
ukilijua hili Wala hautapata tabu na Corona.
Kwani mimi nikichanjwa wewe shida yako ni nini?
Biashara na mtambo wa kugerenete pesa za kutatua matatizo yanayomkabili binadamu mkuu yaani makert based soln.Katika gani lingine linalomhusu mtu ambayo si biashara?
Sasa kama haujui,chango wametumia wao na wengine maelfu wamejioroshesha kutumika kama sehemu ya utafiti wa chanzo.sisi huku shithole shida yetu ni ujinga na umaskiniHyo chanjo wangetumia wao kwanza WAPONE.
kwani lazma tupeana hizo chanjo si watuache TUFE.
Kwanini tunalazimishana hizo chanjo kuna SIRI GANI?.
mpe anayetaka asiyetaka ACHANA NAE
shida ipo wapi
Achani kujifanya mnatupenda na kutusemea kila kitu kwa ujinga wenu wa kufikiri mnayajua sana mahitaji yetu. Acha mimi nichanjwe hata kwa hela yangu.Andaa hela mfuko wa shati .
HAKUNA chakula Cha bure
Hili ndio tamko zito? Anaetoa tamko wala hajitambui. Anaongelea matibabu kwenye virus?Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao.
Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo Bollen Ngetti amesema;
"Tunaweza kutofautiana katika mambo mengi ya kiitikadi, kimtazamo na maono lakini katika mambo ya msingi kwa nchi kama hili la chanjo ni sharti tuungane kuwa kitu kimoja".
Aidha, Ngetti ambaye ni mwandishi wa habari nchini amesema Watanzania wasikimbilie tu athari za kiafya kwa chanjo hiyo na badala yake waangalie athari za kiuchumi.
"Tutambue kuwa dunia iko katika vitu kubwa ya kiuchumi. Kama Tahuri hatutajikita sana katika athari za kiafya za chanjo hiyo lakini tufikirie ni fedha kiasi gani chanjo hiyo itaswaga?"
"Ikumbukwe kwamba, kwa mujibu wa WHO ili nchi za ki-Afrika kupata chanjo kutoka makampuni yaliyojiorodhesha kwenye mkataba wa COVAX ambayo ni BioNTech na Moderna itazigharimu kiasi cha Dola za Marekani kati ya 7-11 kwa chanjo moja".
Ngetti ameendelea kusema, "kwa Tanzania pekee kama Rais Magufuli ataruhusu chanjo itatugharimu Tsh104Trilioni kwa idadi ya watu wetu nchi nzima. Hii ni fedha nyingi sana kwa nchi changa kama sisi".
Ngetti amefafanua kuwa fedha hizo zitatakiwa kukopwa kutoka Benki ya Dunia kwa udhamini wa ADB na itachukua miaka zaidi ya kumi kuzirejesha kwa riba ya asilimia 7.2.
Aidha, Ngetti amehoji, "kama nia njema kwa nini wazungu wamekimbilia kutafuta chanjo badala ya tiba kamili? Walijua kwa tiba utahitaji dozi chache sawa na idadi ya walioambukizwa ambao kwa sasa ni milioni 100 lakini kinga utacheza namba ya watu duniani".
"Jambo la pekee kama Taifa tunalotakiwa kufanya ni kufuata masharti ya kujikinga huku tulifanya kazi kwa bidii, huu ni upepo unaovuma na kupita, tusiondoshwe kwenye reli".
Ngetti amemaliza kwa kusema, "Magufuli si kichaa, wala hana historia ya ukichaa, anatutakia mema tusimvunje moyo. Lakini pia wataalamu wetu nao wakeshe maabara kukuna vichwa aidha kuchunguza chanjo hizo au kugundua za kwetu kama Waganda wanavyofanya"
My Take: Kwa vita hii tutashuhudia na kusikia mengi. Vita hii ya Magu na wanasayansi itaibua makubwa. Subiri tuone!
Kwa hiyo wao wainvest billions of money kufanya utafiti,kisha wapate chanjo then wewe kwa umaskini wako unaanza kuziponda eti vita vya kiuchumi,kumbe si vita vya kiuchumi bali umasikini wenu,sasa si muombe msaidiwe?Kwenye Corona wameweka pesa nyingi sana tofauti na chanjo nyingine
Ndo Mana wanalazimisha pesa zao zirudi
Toka lini hawa weupe wakawa na msada na wewe ? Kinachoshangaza hiii kitu kulazimishaaa. Watupe mfano wa aliechanja akawa salama, ndo na sisi tuchanjeHyo chanjo wangetumia wao kwanza WAPONE.
kwani lazma tupeana hizo chanjo si watuache TUFE.
Kwanini tunalazimishana hizo chanjo kuna SIRI GANI?.
mpe anayetaka asiyetaka ACHANA NAE
shida ipo wapi
Sasa kama haujui,chango wametumia wao na wengine maelfu wamejioroshesha kutumika kama sehemu ya utafiti wa chanzo.sisi huku shithole shida yetu ni ujinga na umaskini
Achani kujifanya mnatupenda na kutusemea kila kitu kwa ujinga wenu wa kufikiri mnayajua sana mahitaji yetu. Acha mimi nichanjwe hata kwa hela yangu.
Rais wetu ana sema uchumi wetu huwezi ukaulinganisha na kitu chochote hivyo hawezi akisimamisha ujenzi wa SGR au flyover au Mwalim hydropower eti kisa corona.Sasa kwa akili yake sijui kama huo uchumi upo kwa ajili ya watu na bila watu huo uchumi is nothingMaisha ya mwanadamu ni muhimu kuliko kitu chochote duniani ikiwemo uchumi na hizo trillioni ulizotaja.
Huwezi kuacha kukopa hela kumtibia mwanao, mkeo babako au mamako ukitamani wafe ili usidaiwe π π π π
Kwa hiyo wao wainvest billions of money kufanya utafiti,kisha wapate chanjo then wewe kwa umaskini wako unaanza kuziponda eti vita vya kiuchumi,kumbe si vita vya kiuchumi bali umasikini wenu,sasa si muombe msaidiwe?
Na kwa nini iwe ya bure wakati watu wametumia mamilioni kutafiti na hatimaye kuipata?Kwani umeambiwa hyo chanjo Niya bure?
Toka lini hawa weupe wakawa na msada na wewe ? Kinachoshangaza hiii kitu kulazimishaaa. Watupe mfano wa aliechanja akawa salama, ndo na sisi tuchanje
Kujitoa ufahamu hakujawahi kuwa solution ya Tatizo,mwambie Jamaa yako aache kujificha arudi mjini,mwanaume hakimbiagi matatizoWatusaidie kwa lipi wakati hatuna magonjwa wa Corona?
Hao wamefeli target yao ilikuwa waje wauze Africa ila MUNGU kawaumbua.
Waondo wanakufa kwa wingi na dawa haifanyi kazi
Na kwa nini iwe ya bure wakati watu wametumia mamilioni kutafiti na hatimaye kuipata?
Malawi mpaka sasa wamepoteza mawaziri wanne,si nchi zote africa wanejitoa ufahamuWao walipiga hesabu zao waje kuuza Africa.sasa mungu NAE Ana mipango yake wanaokufa niwao.
Kufa TUFE sisi huruma waone wao.