Taifa kuwa na Rais asiyeweza kudhibiti Ubadhirifu na Wizi wa Mali za Umma ni taifa linaloangamia na kupotea

Wanasama ukiona mto unapita karibu yako,basi chimba kimfereji kije nyumbani kwako nawe ule asali,maana hata ukilalamika haisaidii kwa sasa.
 
Apumzike kwa amani
Nani huyo? Maana kama ni huyo ambaye umemaanisha, hata yeye alikuwa ni mwizi tu.

Labda Nyerere peke yake ndiyo hakuwa mwizi! Ila na yeye atakumbukwa daima kwa kutuletea katiba ya hovyo ya 1977, na pia chama cha majambazi.
 
Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.

Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.

Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.

Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.

Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika.
Ni lini wavuvi walilala na familia zao?
Kawafufue sasa huyo magufuli alilinda mali za taifa wapi? Mbona alishiriki kuuza nyumba za serikalk akiwauzia mahawala zake kina kabula?
Hujui kwamba alijiuzia maghorofa ya bima pale area D Dodoma kwa bei ya kutupwa kabisa?
Embu acheni kutufanya wajinga bhana
 
Sidhani kama raia namba1 ana meno ya kuzuia ubadhirifu nchini
 
Huyu ni adui wa taifa la walalahoi,ni rafiki wa majambazi.
 
Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.

Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.

Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.

Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.

Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika.
Kama walishakuwepo Marais walikuwa na uwezo wa kukemea na kuzuia wizi wa fedha na mali ya umma kwanini tuna wakulima wa jembe la mkono hadi leo hii?! I bet tungeshakuwa na wakulima matajiri hadi vijijini leo hii. Bado tuna wavuvi wanaotumia kokolo hadi leo. Huyo Shujaa wenu si alikuwaga Serikalini zaidi ya miaka 30 mbona hakuna kitu alifanya?
 
Nani huyo? Maana kama ni huyo ambaye umemaanisha, hata yeye alikuwa ni mwizi tu.

Labda Nyerere peke yake ndiyo hakuwa mwizi! Ila na yeye atakumbukwa daima kwa kutuletea katiba ya hovyo ya 1977, na pia chama cha majambazi.
Wewe kenge endelea kufisadi taifa.
 
Ni lini wavuvi walilala na familia zao?
Kawafufue sasa huyo magufuli alilinda mali za taifa wapi? Mbona alishiriki kuuza nyumba za serikalk akiwauzia mahawala zake kina kabula?
Hujui kwamba alijiuzia maghorofa ya bima pale area D Dodoma kwa bei ya kutupwa kabisa?
Embu acheni kutufanya wajinga bhana
Mbona unakuwa sio muelewa? Umeolewa? Jikite kwenye mada.
 
Tuwe wavumilivu kwasabu mpaka wajiridhishe kwanza ndo wachukuliwe hatua za kisheria na kinidhamu, kwasabu kumfukuza mtu kazi bila kujiridhisha huwa wanakata rufaa tena. Kwahyo tuwe na Imani tu
 
Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.

Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.

Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.

Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.

Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika.
Halafu dogo huu utoto wako wa kumiliki id zaidi ya moja utaacha lini? Tazama muda wa hilo bandiko lako, na ule wa bandiko lako kwa id ya Idugunde lonatofautiana muda gani, acha utoto ww sukuma gang.
 
Mambo mengi wanawake hawawezi ikiwamo Urais wa nchi. 8 more years to go baby!
 
Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.

Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.

Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.

Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.

Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika.
Kumlaumu huyu wa sasa ni sawa na kubebesha kichwa cha kuku sufuria, tulifeli kule Mwanzo ambapo mtu mmoja punde tu baada ya Uhuru aliitupilia mbali "master plan" tuliyoachiwa na Mkoloni, mind you japo wengi husikika wakimkandya Mkoloni lakini frankly speaking hakuwahi kupuuza na kiukweli mzungu hana kawaida ya kupuuza potential person(Human resources) hasa akiwa na jambo lake, mzee wetu Nyerere yeye aliuvaa ubinafsi kiasi akaanza ubaguzi kwa misingi ya udini na kuna wakati mwingine (mara nyingi) akifanya mambo pasina miiko japo wengi wakimsifia lakini aliharibu, kisha akatuachia mzoga(CCM) ambao kiukweli ndio virus anaeangamiza Taifa letu hii Leo, system iko corrupted labda huko Mwanzo ungeweza kudeal na somebody lakini too late kwasasa kumnyooshea kidole samia wakati hata watangulizi wake waliyaishi haya ima tukiondoe hichi chama au tukodishe watu waje watuendeshee Taifa unless otherwise twendeni taratibu na tusikuze mambo maana hakuna mtoto au punguani hapa asiejua usaliti alioufanya mwalimu kiasi kutuvuruga move yetu kama Taifa huru na Changa wakati ule kuelekea maendeleo ya kweli na shani ya Uhuru wa kweli, selfishness na greediness zilizaa haya Matatizo na sasa ni kitukuu chake, angalau basi huyo Samia ni kama anafanya reshuffle, huwezi kuwa na Taifa huru kisha utengenezi matabaka ya watu wake wakati mwingine kuwabambika wenzio makosa kama ya Uhaini na Uhujumu kisha ubaki salama eti kisa wao si wa Imani yako au wachama chako au wakati mwingine hawana mtazamo kama wako, Sasa iko wapi maana ya Uhuru?!! Hivi ulimuona kiongozi wa muhimili wa Bunge (naibu spika) majuzi Akiwatweza wawakilishi wa wananchi kwa dharau na kebehi? Kweli Leo hapa wamnyooshe kidole mtu Mmoja eti Rais? Be serious my brother
 
Back
Top Bottom