MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wizi wa mali za Umma ni reflection ya jamii ya watu wasiostaarabika
Kwa hasira kabisa ni wafokee wezi wote wa mali za umma. Jamii yoyote iliyostaarabika inatizama mustakabali wa vizazi vijavyo. Unapoiba pesa au mali za umma ni kielelezo cha ubinafsi kama mtu mmoja lakini kwa jamii nzima ni reflection ya kuwa jamii hiyo haijastaarabika. Vipo viashiria vingi...