hao unaowataja wewe, sio naowazungumzia mimi mkuuVyeti feki,wezi,mafisadi na familia zilizojimilikisha Mali za Watanzania ndio zilionewa baada ya Watanzania kupewa haki yao dhidi ya wezi,mafisadi,mabepari,mabwenyenye,makabila na familia zenye hati miliki ya Taifa la Tanzania.
Ni kweli ila siyo kufikia hatua ya kushangilia kifowatu walionewa mkuu, ni haki yao kulalamika
πππππHasara hiyo unaipima kwenye kitu gani ndg mtoa mada?
Mimi alikufa na pesa zangu za korosho
Magu alivyorudi ma umbini nilifanya sherehe wiki nzima na sikuwngalia chochote kuhusu MAZISHI ya magu hata sijui Nini kiliendelea mpaka LeoNi kweli ila siyo kufikia hatua ya kushangilia kifo
ukiona watu wameshangilia kifo ujue walikosa msaada hiyo ndo option pekee wanaona kamaushindi --- viongozi wajitahidi kutenda haki kwa wote.Ni kweli ila siyo kufikia hatua ya kushangilia kifo
Una matatizo pole sana. Utakuja kumuelewa ukiwa mzeeMagu alivyorudi ma umbini nilifanya sherehe wiki nzima na sikuwngalia chochote kuhusu MAZISHI ya magu hata sijui Nini kiliendelea mpaka Leo
Maumivu aliyonipatia ndo yanaanza kuondoka taratibu although yanaunganishana na ya sasa
Nilifurahi na nitaendelea kufurahiUna matatizo pole sana. Utakuja kumuelewa ukiwa mzee
Yaani wewe ndiye utaendelea kuwa na matatizo kwenye mfumo wako wa maisha maana Dkt Magufuli yu mifupa na hana hata hiyo habari. Matokeo yake unaweza kuja kujiua kwa sababu kila kitu kinachotokea ktk maisha yako utakuwa una laumu watu wengine kitu ambacho kisaikolojia wanasema siyo kizuri ktk afya ya akili.Nilifurahi na nitaendelea kufurahi
Mzee wa double standard akwendreee
Waliomdhihaki Magufuli ndio hao hao leo hii wanamdhihaki SamiaTaifa limepelekwa utumwani baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli.