Taifa la Tanzania limekosa viongozi kama hayati Julius Nyerere na hayati John P Magufuli. Wananchi wanyonge watakandamizwa mpaka wakione cha moto

Duu!sawa sawa bana...[emoji23][emoji23]
Ndio hivyo na iko hivyo kwenye sekta zote,huwezi linganisha speed ya Samia na Mwendazake,Samia ana pesa ila Mwendazake alikuwa na propaganda na porojo nyingi za majigambo kwa wajinga ndio maana aligombana na watu wenye akili wote..
 
JPM the best President of all the time RIP
 
Nchi hii ina LAANA
 
Usingemtaja huyu mtekaji, muuaji na mporaji wa mali za wanyonge ningekuona uko serious na mada yako na ningechangia hoja. Lkn hauko serious unafurahisha genge tu.
Toa mawazo yako. Si busara kushambulia hoja za mwenzako wakati wewe huna mbadala
 
If you hate someone hate them alone don't go around recruiting people to hate that person with you that's witchcraft...Huo ni uchawi...bila shaka ulipitiwa na fagio la chumaaaaa....

Joined August
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…