Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Nani ngosha wewe?? Hasira zako usilete huku jukwaani!! Peleka hukoooooooo!!![emoji35][emoji35][emoji35]Nimekuhamasisha wapi wewe ngosha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani ngosha wewe?? Hasira zako usilete huku jukwaani!! Peleka hukoooooooo!!![emoji35][emoji35][emoji35]Nimekuhamasisha wapi wewe ngosha?
Of course anaupiga ndio maana huwezi sikia Wala kuona mradi wowote umekwama..Mama anaupiga mwingiiiii [emoji2772][emoji2772]
Duu!sawa sawa bana...[emoji23][emoji23]Of course anaupiga ndio maana huwezi sikia Wala kuona mradi wowote umekwama..
Linganisha hizi Takwimu za daraja la wami hili [emoji116]
Ndio hivyo na iko hivyo kwenye sekta zote,huwezi linganisha speed ya Samia na Mwendazake,Samia ana pesa ila Mwendazake alikuwa na propaganda na porojo nyingi za majigambo kwa wajinga ndio maana aligombana na watu wenye akili wote..Duu!sawa sawa bana...[emoji23][emoji23]
Sawa hawara wa mwendakuzimu.Nani ngosha wewe?? Hasira zako usilete huku jukwaani!! Peleka hukoooooooo!!![emoji35][emoji35][emoji35]
Wewe ni maviMagufuli ni ovyo kabisa kuwahi kutokea taifa hili, sasa sijui wajinga wanapata wapi ujasiri wa kuandika jv,
Wewe ni shitholeWewe mpuuzi. Kwani mimi sikuwepo hapa Tanzania?
Huna jinsia?Usingemtaja huyu mtekaji, muuaji na mporaji wa mali za wanyonge ningekuona uko serious na mada yako na ningechangia hoja. Lkn hauko serious unafurahisha genge tu.
TakatakaWewe ni shithole
Upi? Acheni hizoMama anaupiga mwingiiiii [emoji2772][emoji2772]
JPM the best President of all the time RIPHivi mbona ni aibu kubwa sana kwa taifa kubwa lenye rasimali nyingi na utajili wa maliasili kama Tanzania kufikiria juu ya kukamua tozo toka kwa wananchi wanyonge badala ya kufikiria kutumia rasimali kama madini, uvuvi na kilimo kupata mapatoa ya kuendesha nchi.
Hayati Mwalimu na hayati Julius Magufuli walikuwa makini juu ya hili na hawakupenda kuona raia wa chini na wanyonge wakisumbuliwa kwa sababu taifa lao lina rasilimali za kutosha kujiendesha.
Ni kweli wakati wa hayati Mwalimu wananchi walikuwa wachache. Lakini alimudu kusomesha wananchi bure na matibabu bure hakukuwa na wawekezaji wakubwa wa uchimbaji madini hapa nchini. Leo hii kila kona madini yanachimbwa na raia wanapigwa tozo za kila namna.
Leo hii kuna vyanzo kibao vya mapato vya taifa letu lakini raia wanyonge ndio wananyanyaswa kwa tozo za kila namna .
Akumbumbwe hayati JK Nyerere na hayati JPM
Nchi hii ina LAANAHivi mbona ni aibu kubwa sana kwa taifa kubwa lenye rasimali nyingi na utajili wa maliasili kama Tanzania kufikiria juu ya kukamua tozo toka kwa wananchi wanyonge badala ya kufikiria kutumia rasimali kama madini, uvuvi na kilimo kupata mapatoa ya kuendesha nchi.
Hayati Mwalimu na hayati Julius Magufuli walikuwa makini juu ya hili na hawakupenda kuona raia wa chini na wanyonge wakisumbuliwa kwa sababu taifa lao lina rasilimali za kutosha kujiendesha.
Ni kweli wakati wa hayati Mwalimu wananchi walikuwa wachache. Lakini alimudu kusomesha wananchi bure na matibabu bure hakukuwa na wawekezaji wakubwa wa uchimbaji madini hapa nchini. Leo hii kila kona madini yanachimbwa na raia wanapigwa tozo za kila namna.
Leo hii kuna vyanzo kibao vya mapato vya taifa letu lakini raia wanyonge ndio wananyanyaswa kwa tozo za kila namna .
Akumbumbwe hayati JK Nyerere na hayati JPM
Toa mawazo yako. Si busara kushambulia hoja za mwenzako wakati wewe huna mbadalaUsingemtaja huyu mtekaji, muuaji na mporaji wa mali za wanyonge ningekuona uko serious na mada yako na ningechangia hoja. Lkn hauko serious unafurahisha genge tu.
If you hate someone hate them alone don't go around recruiting people to hate that person with you that's witchcraft...Huo ni uchawi...bila shaka ulipitiwa na fagio la chumaaaaa....
Kichwa majiSawa hawara wa mwendakuzimu.