Taifa la Tanzania mikononi mwako Mungu

Kauli yake kuhusu mikopo inadhihirisha uzalendo wake.

Hakuogopa taasisi ya urais wala kupoteza cheo chake.

Japo wanasema aliropoka ila ujumbe ulifika katika ukubwa wake.

Haijalishi amekosea mangapi ila kipindi hiki ndo uzalendo wake umejidhihirisha.
Nyie ni matahila kweli! Yaani ndugai Ni mzalendo?????????
 

Ukweli ni kuwa si kila mamlaka Au Utawala huku duniani una kibali cha Mungu. Hivyo ni Ukweli kuwa si kila Utawala na Mamlaka zimetoka kwa Mungu.

Kwenye historia ya ulimwengu huu, Mataifa mbalimbali zimewahi kuwapo tawala Au watawala wakatili sana kwa watu, waliosababisha mauaji mengi ya kutisha. Kwa Mungu sisi binadamu ni wa thamani sana. Kamwe Mungu muumbaji HAWEZI kuzipa kibali tawala za namna hizo. Mara nyingi sana ni utashi wetu sisi wenyewe ndio unatufikisha kwenye shida nyingi za mamlaka za hovyo huku tukimsingizia Mungu kuwa ndio ameweka hiyo Mamlaka.

Shetani , yule mwana wa giza nae anahangaika usiku na mchana kuhakikisha ana simika utawala wake. Hivyo, mimi sioni ajabu nikiona Utawala wa hovyo sehemu yoyote huku duniani.
 
ALICHO WAFANYIA WAISRAELI KATIKA KARNE ZA ZAMANI MPAKA LEO HII, MWENYEZI MUNGU HAKIKA YUKO NASI NCHI YETU TANZANIA MILELE YOTE. MWENYEZI MUNGU NI MWEMA NA MWAMINIFU KWA NCHI YETU TANZANIA.
 
Mkuu we ni mlinzi,omba omba omba...biblia inasema ...niweka walinzi juu ya kutaka zako eeh Jerusalem ......
2nyakati 7:13-15
Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu,watajinyenyekesha na kuomba,na kuziacha njia zao mbaya .....endele soma hapa mkuu hakuna namna
 
Kwani mwanzo ilikuwa wapi?
Kwani Tanzania imeanza kuwa Haiti? Kila kitu na wakati wake. Haya mambo ya Taifa linalojua kuroga na kurogona yatatuletea matatizo tu. Amyway, that is a personal choice...mnaotaka kuyaishi maisha ya aina hiyo, muishi kama nyinyi wenyewe. Hiyo isiwe strategy ya Taifa.
 
Mungu yuko Mbinguni na jicho lake linaona nchi yetu, ndiyo maana tukimwambia anajibu upesi.
 
Strategy ya Rais ni ya Taifa
 
Daniel 16
 
Tate kumbe kazi yote ya propaganda ya kuitoa ccm ni kuwa ili na ninyi mle na kugawana keki ya taifa??? Basi maombi yako yashindwe kabisa kufaulu ama wapewe wengine wenye maono ya kuwapigania watanzania kwa ajili ya taifa zima
 
Pascal mimi najuwa unayo haki kuandika hivyo umeandika. Hapa hakuna duwa ya kuku wala ya ng'ombe ila ipo kazi mbele as a nation lazima tusali. Wakati tunarushia vijembe na vikokoto yapo mataifa yanalitamni hili taifa kwa muda mrefu sana na niswala la muda kwa mtu ulie deep on mambo ya siasa unaweza juwa wakati tupo na wakati unaokuja. Tuweke mbali uchama na tuweke mbali siasa tunaitaji kusali.. Tupo watu kabisa tulijuwa Hayati Magufuli speed yake ingeweza kuwa kigingi cha maisha yake.. Nahii imeandikwa hata ktk Bible pale Musa alikuwa akitaka kusikiliza kila tatizo la mu israel. Mungu akamtuma shemeji yake nakumwambia angekufa kwa aina ya maongozi yake. Tena akamwambia aunde baraza la wazee wenye hekima wasikilize matatizo ya watu. Nandio chimbuko la baraza la mawaziri unaona leo. Je nikweli hatukumbuki yaliotukuta kama taifa na mwisho wa haya yote?
Labda nikukumbushe ukasome kile kilitokea Zambia namfululizo wa head of state kudondoka na vile sisi kama taifa hatupaswi lala kuliombea hili taifa.
If ye ask me Kifo cha Magufuli nitakujibu neno moja hakikuwa kifo cha kawaida kina siri kubwa sana kwa viongozi wote wakitaifa na sisi watanzania.
Kiufupi sio dalili njema kule tunaenda hata wale wamemrithi sio hata muda wakusema watu wanashangilia nafasi zao trust me Taifa tunaomboleza na tupo maombolezo...
Ila unaweza jisahaulisha atupo maombolezo ila time will tell us... Kwahiyo wewe baki naduwa la kuku ila muda utakukumbusha haya nimeandika.
 
Ungekua muwazi tukajua tuombee nini kuliko kutuweka Njia panda mkuu!!Be honest!!najua Paulo mrefu anatamani ardhi yetu yenye rutuba!!uwe muwazi mkuu tena muwazi haswaaaa!!!
 
Unamjuwa muhaini lakini? Well basi sawa nakushukuru. I pray for my country kama wewe unaona kuliombea taifa ni uhaini basi sawa. Japo hatufanani na kamwe hatuwezi fanana. Ila usisahau bandi lako
 
Umeandika kwa uchungu sana mkuu!

Ndo uzalendo ulivyo. Binafsi nitaungana na wengine wote watakao amua kuombea taifa letu.

Pascal ukweli anaujua ila sasa anatafutia familia ugali
 
Hoja hii imekuja vipi na maombi yangu? mpuuzi atakuwa mimi au wewe? Unatutoa kwenye msitari kuanzia paragraph yakwanza mpaka ya mwisho kuna mahali naelezea mambo yanahusu taasisi ya Rais au unataka kupata maneno yakuongea ? Au unafikiri hili taifa nilawatu fulani au au chama au watu wakabila fulani? This is our country tunahaki yakuzaliwa ktk taifa hili na usije hapa na siasa zako na kuunganisha na thread yangu...
Kunasehem nalalamika kwangu maji akuna au kuna daraja limesimama kujengwa?
Nimeandika mambo ambayo low brain hawezi kuona wala kuwaza naongea habari za Taifa taifa la watanzania tunamuitaji Mungu kuliko wakati mwingine kama ni dhambi basi sawa ila that is what i mean...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…