Taifa la Tanzania mikononi mwako Mungu

Tate kumbe kazi yote ya propaganda ya kuitoa ccm ni kuwa ili na ninyi mle na kugawana keki ya taifa??? Basi maombi yako yashindwe kabisa kufaulu ama wapewe wengine wenye maono ya kuwapigania watanzania kwa ajili ya taifa zima
Mkuu Nyamsenga, kama umenisoma vizuri utagundua kwamba natamani tu kuona wananchi wote wa Tanzania, ukiwemo wewe na mimi tukiifaidi keki ya Taifa kwa mgawanyo unao karibiana! Badala ya hivi sasa ambapo ccm wanajiona kama ndiyo wenye haki miliki ya hii nchi.

By the way, mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha kisiasa! Ingawa siwezi kupinga wakati fulani nimekuwa mshabiki wa harakati za Chadema. Kiukweli msimamo wangu uko wazi kabisa! Nitafurahi sana siku ya kushuhudia anguko la ccm.
 

Mkuu Tate Mkuu, kwasababu ni Mungu ndiye huziweka serikali za mataifa, CCM haijajiweka yenyewe, umewekwa na muwekaji serikali za mataifa, hivyo kama furaha yako ni kuiona CCM ikianguka, then utasubiri sana!.

CCM ndio chama pekee cha siasa nchini Tanzania, chenye long experience ya muda mrefu ya kuitawala Tanzania, na the
current situation of political dynamics ya siasa zetu, unless otherwise, vinginevyo, CCM itatawala milele!.
Ref: Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
Mungu ayaone mateso ya Watanzania kwa kuongozwa na CCM na alete mbadala mwingine kuiponya nchi yetu.
CCM hawana tofauti na ZANU PF wanavyotesa raia Zimbabwe huku viongozi wakiwa kwenye Raha tu.
Wanasiasa wa nchi hii wanaiga uovu wa CCM kiasi Cha kwamba wananchi hawaoni mbadala mwingine.
Imetosha Sasa Mungu aingilie Kati mwenyewe.
Aliweza muondosha Sauli na wadhalimu wengine hatoshindwa isuka upya nchi yetu pendwa.
 
Kwanini haya yanatokea!?
 
Nini umeona mkuu...
 
One among hypocrites to ever live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuogopa? msamaha aliomba wanini ?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
si kila kitu kinapangwa na MUNGU KUNA SIKU HATA KWA KUCHELEWA UTAJUA HILO
 
Huna legitimacy ya kuchukia maovu.

Nyie ndo mlinufaika kipindi cha jiwe sasa mnalia lia tu.

Mungu atatenda kadiri ya wema wake. Lakin sio kwa kikundi cha watu wachache waliokuwa waovu sasa wamedhibitiwa.
Nina ona maono japo sijuwi nini kinapangwa ila ninajuwa vyombo vya ulinzi vipo imara
 
Lakini pia wale wanaounda serikali pasipo mapenzi ya Mungu.

Naye Mungu hutenda iliyohaki ama kwa kuwatwaa ama kwa pigo lolote lile ilimradi tu wasitekeleza uovu wao.
 
Mungu ni cheo hivyo ni vyema ukatuambia Mungu yupi huweka Selikari za mataifa.

Hata shetani ni mungu wa dunia hii tena ndie mmiliki wa fahari zote naye humpa yeyote kama apendavyo ilimradi tu akianguka kumsujudia. Sasa utuambie hizi Sekari mbili zimewekwa na Mungu yupi?[/QUOTE]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ila naye apunguze mambo ya uchifu. Tunakuwa kama watu wa tamaduni na matambiko.
 
JPM alikuwa chaguo la mungu????? pengine mungu wa wale wajadi, sio mungu muumba bingu na nchi
 
Duh...!.
Sisi wengine wenu kuna vitu tuliuliza humu,


hatukuwahi kujibiwa ila matokeo ndio tumeshuhudia!.
P
 
Muogope Mungu kunasiku mtakaa kimya nawaambia naomba ukasome niliwahi andika ipo siku kutakuwa kimya... Bora hata tunao liombea Taifa.
Bro do not worry, it is well with thee!

Those who know their God shall mount like egeal...Just remain silent and just observe how God is man of war, yours is to shout halleluja; the Egyptian you see today shall see them no more...King rules by decree. Its done, tukutane Galileah!
 
Ccm kosa kubwa Sana ambalo wamewahi fanya ni Namna walivyo wa handle upinzani nchini !!wangekua na siasa rafiki kwa upinzani leo wangelivusha Taifa kupitia upinzani lakini wanakosa kimbilio na kubaki wakipambana wenyewe kwa wenyewe kitu ambacho ni hatari kwa ustawi wa Taifa letu!!upinzani sio uadui wala ugaidi hao ni watnzania tena ndugu zetu wa damu!!kwanini tuwatese na kuwaua na kuwanyima haki ya kufanya siasa nchini???
 
We ni kenge mmoja ambae huna nguvu yoyote kwenye serikali hii, acha porojo zako za mitandaoni, Kama humpendi Samia,Basi penda Nchi yao binti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…