Taifa letu ni Salama na lenye utulivu kisiasa Kwa sababu ya hawa Majenerali Pichani. Wanasiasa na viongozi Mnajifunza Nini hapa?

Sababu kuu ya Tanzania kuwa na amani na utulivu subira ambayo Watanzania wamepewa kama tunu na Mwenyezi Mungu.
 
We jamaa wanakukula nini
 
Kama utaongelea kuwa salama bila kuhusisha ujinga utakua unakosea Big time
 
Mwananchi ndiye alikwenda akapigana vita vya uganda na Tanzania?wananchi ndiye anakesha usiku kucha akilinda mipaka yetu? Mwananchi ndiye anakesha akipambana na Magaidi yenye silaha za kivita?
Hivyo vita wananchi - wanajeshi wa chinichini huko ndo walikuwa mstari wa mbele pia- wengi walijifia, wengine wako mtaani hali ngumu.
Kuna magaidi gani hapa Tz???.Yule Hamza aliwastua tu mtu mmoja watu walihaha..
Hao magenerali wanalipwa, wana-ma v8, wanawalinzi, wanakula keki ya Taifa - ni barter trade.
Mzalendo nchi hii tulimpata Nyerere tu - angeamua kutuuza nchi nzima, na yeye kuwa bilionnaire angeweza...
 
Unazeeka vibaya sana na kila siku akili yako na uwezo wako wa kufikiri unaendelea kushuka na kuporomoka kama mmomonyoko wa udongo.
Asante Lucas.. Lakini pamoja na hayo yote niko tayari kukusaidia bure kabisa.. Una shida kubwa lakini pengine hujui
 
Nenda kakimbize wewe . mimi nitakuwa namtafutia kura za ndio Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Lucas kizuri chajiuza kibaya chajitembeza... Wanaosaidiwa ni walemavu na watu wasio na uwezo wa kufanya mambo wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…