Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #101
Acha ujinga wako hapa wewe.Nipo Dodoma,huyu Mwashambwa ni port ,ngoja nifanye mipango nimlete huku Mirembe nimsaidie matibabu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wako hapa wewe.Nipo Dodoma,huyu Mwashambwa ni port ,ngoja nifanye mipango nimlete huku Mirembe nimsaidie matibabu!
Na iwe hivyo 2025 tutakapokuwa na Rais mpya MwanaumeNdugu zangu Watanzania,
Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa.tupo hapa tulipo tukiwa na utulivu wa kisiasa kwa sababu kuna watu walijitoa kwa jasho na Damu kulilinda ,kulipigania na kulitetea Taifa letu.tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu walitimiza vyema sana wajibu wao na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa letu badala ya matamanio yao binafsi.
Tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu waliamua kuilinda,kuitetea,kuihifadhi na kuilinda katiba yetu ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya wenye uroho na uchu wa madaraka.tupo hapa tulipo kama Taifa kwa sababu ya wazalendo ambao waliamua kwa jasho na Damu kulibeba Taifa letu katika mioyo ,vifua na Mabega yao.
Tupo hapa tulipo kama Taifa kwa sababu kuna watu waliamua kusahau na kuwa mbali na familia zao kwa ajili ya kupigania na kulinda maslahi ya Taifa letu. Ni uchapakazi wao, kujitoa na kujitolea kwao,uadilifu wao, uzalendo wao,uaminifu wao na kulinda viapo vyao kwa Taifa letu ndio kumefanya Taifa letu kuendelea kuwa lenye Amani,utulivu na usalama wa kutosha.
Watanzania tutambue ya kuwa hawa wazee wetu wameumia sana ,kuteseka sana ,kunusurika kifo na kupoteza Maisha yao kwa sababu ya kulilinda Taifa letu. Wamevuja jasho na Damu kutetea na kuilinda mipaka yetu. miili yao ilijaa na kuvuja jasho kwa ajili yetu watanzania. Hivyo hatuna budi kuwaheshimu,kuwaombea na kutambua mchango wao na uzalendo wao uliotukuka kwa Taifa letu ambao hakuna pesa ya aina yoyote ile na ya kiwango chochote kile inaweza kulingana na kujitoa kwao walikofanya kujitoa Maisha yao kwa ajili yetu.
Mungu wa Mbinguni aendelee kuwajalia Maisha marefu hawa Majenerali wetu.aendelee kuwapatia afya njema na uhai, kwa sababu ni hazina kwa Taifa letu na mawazo yao bado yanahitajika sana kwa Taifa letu.
View attachment 3143045
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utakuja kunishukuru ukitibiwa na kupona port!Acha ujinga wako hapa wewe.
Lucas Usiingize Jeshi kwenye maswala yako Ya Kisiasa Nakuonya LucasNdugu zangu Watanzania,

Kweli!Watajifanya hawaoni !58miaka ya kutawala.Chini.Somo la Botswana wamelielewa, subirini mwakani 🤔🤔
Labda 2035.Na iwe hivyo 2025 tutakapokuwa na Rais mpya Mwanaume
Embu ondoa habari yako hapa.Lucas Usiingize Jeshi kwenye maswala yako Ya Kisiasa Nakuonya Lucas
Nakuonya kwa Mara Ya Pili Usiingize Jeshi kwenye maswala yako ya Siasa..Embu ondoa habari yako hapa.
Kwenda zako huko wewe😀😀😀Nakuonya kwa Mara Ya Pili Usiingize Jeshi kwenye maswala yako ya Siasa..
HAPO MLOWO Sio mbali Ni ndege ya asubuhi na ni masaa Manne tu nakuwa nishafika
😅😅😅Kwenda zako huko wewe😀😀😀
Jamaa wampe hata ukimbiza mwenge Mwakani tuu!😅😅😅
Ivwanga wazima
Ujinga unakasumbua sana wewe.Unakung'utwa wewe siyo bure!
Nenda kakimbize wewe . mimi nitakuwa namtafutia kura za ndio Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Jamaa wampe hata ukimbiza mwenge Mwakani tuu!
Unamtafutia kura wapi Tena si umesema ni kipenzi Cha Watanzania?!!Nenda kakimbize wewe . mimi nitakuwa namtafutia kura za ndio Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hata Hayati Nelson Mandela alitafuta na kutafutiwa kura.Unamtafutia kura wapi Tena si umesema ni kipenzi Cha Watanzania?!!
Wote hao chichiemNadhani Luca ni mgonjwa na hajijui kwamba anaumwa
Acha kuota ndoto za mchanaWote hao chichiem
Ndomana tiktaka zinazotokea utakuta anayefanya mabadiliko ni kaluteni tu
Ova
Wote hao wana kadi za kijani kwani uwongoAcha kuota ndoto za mchana
Kwani hujuwi hata Dkt slaa alipokuwa CHADEMA kama katibu Mkuu alikuwa na kadi ya CCM?Wote hao wana kadi za kijani kwani uwongo
Ova