RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali.
Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa ya kuishi kama ndege pori.
Pamoja wanaharakati kupaza sauti utekaji unaendelea na watu kupotezwa bila kurudishwa hii ni hatari katika taifa letu.