Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali.
Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa ya kuishi kama ndege pori.
Pamoja wanaharakati kupaza sauti utekaji unaendelea na watu kupotezwa bila kurudishwa hii ni hatari katika taifa letu.
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."
Oliver Reginald Tambo, former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
Kimsingi kama taifa timefikia pabaya sana ! Kupotezwa imekuwa jambo la kawaida na viongozi wa dini wamekaa kimya na watu wanaopotea mimi huwa sioni makosa yaokuna kitabu kinaitwa “Muhuni wa kwanza duniani ni serikali wengine wanafata ‘’
Ukikurupukia kama Lucas mshamba anaweza kusema anayoropoka kila siku.
Serikali iliyopo madarakani ndio iliyobeba chama na viongozi ambao wanaweza kuwa wema au sio wema pale watakapotaka kunyamazisha au ubavu maguvu.
Kipo kitabu kasome utaelewa haya.Kimsingi kama taifa timefikia pabaya sana ! Kupotezwa imekuwa jambo la kawaida na viongozi wa dini wamekaa kimya na watu wanaopotea mimi huwa sioni makosa yao
Ngoja na wao,familia zao watakuja kutekwa nao ndy akili zao zitakuja kukaa sawaKimsingi kama taifa timefikia pabaya sana ! Kupotezwa imekuwa jambo la kawaida na viongozi wa dini wamekaa kimya na watu wanaopotea mimi huwa sioni makosa yao
Ndiyo mkome kumsingizia MagufuliLeo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali.
Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa ya kuishi kama ndege pori.
Pamoja wanaharakati kupaza sauti utekaji unaendelea na watu kupotezwa bila kurudishwa hii ni hatari katika taifa letu.
It seems like you are among of the people with a short-sighted mind.Ndiyo mkome kumsingizia Magufuli
Tatizo lilikuwa kubwa sana wakati wa hayati Magufuli.It seems like you are among of the people with a short-sighted mind.
Tatizo hili la Utekaji watu na Mauaji lilianza hata kabla ya Magufuli hajazaliwa. Vitendo hivi vya Utekaji watu vilikuwepo Tz tangu zamani Sana enzi za Utawala wa Awamu ya Kwanza na hadi Sasa, na vitaendelea kuwepo hadi hapo chanzo chake kitakapokomeshwa kabisa.