Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Anza kuandaa ya makonda mkuu utasikilizwa
Ile video clip ina ushahidi gani? Hata mimi naweza nikaiandaa. Nikamrekodi kijana atoe shutuma kali dhidi ya waziri mkuu halafu nikaisambaza kwa maslahi binafsi. Tunataka uchunguzi ufanyike ili hizo tuhuma zithibitike na ikiwa ni kweli achukuliwe hatua.