Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

Huyu alikuwa Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, awe na tuhuma kama hizo nani ataweza kumshawishi nani afuate sheria??

Ukiwa kiongozi unatakiwa ukae mbali na even harufu ya uovu, Gekul kachemka!!

Hilo tu!! Hampaswi kumlinganisha na Makonda licha ya tawala kuwa tofauti kabisa!!
Mbona mwigulu ana tuhuma za wizi wa fedha za umma na bado ni waziri wa fedha?
 
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.

Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.

Mbali na hayo pia CCTV video clips zipo zikiomuonesha anavamia studio za Clouds. Na hata Serikali ya Marekani ilisema kuwa mtu huyu anadhulumu haki ya watu kuishi (anaua), mpaka ikampiga marufuku kukanyaga nchini kwao

Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Kama kweli kafanya huo uovu, anastahili adhabu, bila kujali kama waovu wenzake wamehukumiwa.
 
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.

Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.

Mbali na hayo pia CCTV video clips zipo zikiomuonesha anavamia studio za Clouds. Na hata Serikali ya Marekani ilisema kuwa mtu huyu anadhulumu haki ya watu kuishi (anaua), mpaka ikampiga marufuku kukanyaga nchini kwao

Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
IMG_20211218_014906.jpg
 
Kamsokomeza mwenzake chupa

Kwa hiyo aachiwe arudi barazani

Apigiwe makofi apongozwe

Ova
 
Maadam Makonda karudi, basi na wewe Ole Sabaya anza kupasha. Muda wowote utarudi kwenye utaratibu wa awali
 
Gekul hana watu, hana mizizi mikubwa ndani ya chama
Kwani yeye hakulijuwa hilo

Mbona alianza kulewa madaraka sifa mapema sana wakati huko alikokwenda yeye mgeni tu bado

Ova
 
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.

Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.

Mbali na hayo pia CCTV video clips zipo zikiomuonesha anavamia studio za Clouds. Na hata Serikali ya Marekani ilisema kuwa mtu huyu anadhulumu haki ya watu kuishi (anaua), mpaka ikampiga marufuku kukanyaga nchini kwao

Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Kwaiyo lisu kumtaja hadharani ndo ushahidi wa wazi Cha pili lisu ni mwanasheria kama ana ushahidi wa wazi kwanini asifungue kesi mahakamani?
 
Kwani yeye hakulijuwa hilo

Mbona alianza kulewa madaraka sifa mapema sana wakati huko alikokwenda yeye mgeni tu bado

Ova
Madaraka yanalevya, haswa kwa mtu mpumbavu lazima apagawe, huyu alipaswa ajijengee connection nzito ndani ya chama chao
 
Makonda alitubu kwa wakubwa na kajutia kosa kaanuia kutorudia tena, ameishafanya malipizi yake kwa kukaa benchi.

Usimlinganishe na ya Dada aliyejiuzulu uwanachadema
 
Back
Top Bottom