Ile video clip ina ushahidi gani? Hata mimi naweza nikaiandaa. Nikamrekodi kijana atoe shutuma kali dhidi ya waziri mkuu halafu nikaisambaza kwa maslahi binafsi. Tunataka uchunguzi ufanyike ili hizo tuhuma zithibitike na ikiwa ni kweli achukuliwe hatua.
Alipovamia kituo cha habari cha Clouds nayo ni minong'ono tu??Uovu wa Makonda ni minong'ono tu ya mitandaoni, hakuna mtu aliyejitokeza mbele ya hadhara akaja na ushahidi wa unyama wake ule wenye kujitosheleza.
Huyo Gekul kila kitu kipo wazi kabisa, na sijui alikuwa anafikiria nini kumfanyia yule kijana aina ile ya unyama!.
Ina ushahidi wa katibu wa mbunge kumzuia mwandishi wa habari asitoke ofisini kwa mbunge ambacho ni sawa na kitendo cha utekaji.Ile video clip ina ushahidi gani? Hata mimi naweza nikaiandaa. Nikamrekodi kijana atoe shutuma kali dhidi ya waziri mkuu halafu nikaisambaza kwa maslahi binafsi. Tunataka uchunguzi ufanyike ili hizo tuhuma zithibitike na ikiwa ni kweli achukuliwe hatua.
Tatizo ni kwamba hayo ya Makonda mnazusha tuu bila Ushahidi. Mmesha ombwa mara nyingi tu, pelekeni Ushahidi! HamnaKama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.
Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.
Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Hapo watamtemesha bungo, kumfanya mbuzi wa kafara waonekane wana msimamo kumbe washenzi tu.Watu aliwaacha Chadema, sasa ndio wakiambiwa nguo ya kuazima haisitiri.... waelewe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwa sasa mhusika ni Gekul na si MakondaNilitaka Makonda akamatwe
Wewe mbona unaandika kwa jina la bandia na kwa kificho?!,jitokeze ili uwe shahidi kwenye hizo kesi.kila siku wewe ni mtu wa kusema watu,na kutuhumu watu bira hata kuwa na ushahidi.Ushahidi wa uovu wa Makonda uko wazi, labda useme lini Kinga yake ya kutoshitakiwa itaisha.
Unamwaibisha Yesu.Gekul anatuhumiwa na nini kwani
YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Bila Makonda kukamatwa na kufikishwa mahakamani, yote yanayofanyika kuhusu haki, ni unafiki mtupu.Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.
Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.
Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Mbuzi hawezi kumla muuza supu kamwe.We jamaa makonda alikuingilia/kupumulia nini?
Africa Kusini baada ya kuunda tume ya maridhiano Kila uovi uliwekwa wazi, na watu wakaomba msamaha, kisha wakafungua ukurasa mpya. Hapa unataka nitoe ushahidi kwa vyombo vilivyoshiriki kufanikisha ukatali wa Makonda! Ukitaka kuona ushahidi wa mchana kweupe, kuwe na taasisi huru hasa toka nje ya nchi kisha uje uchukue mrejesho.Wewe mbona unaandika kwa jina la bandia na kwa kificho?!,jitokeze ili uwe shahidi kwenye hizo kesi.kila siku wewe ni mtu wa kusema watu,na kutuhumu watu bira hata kuwa na ushahidi.
Wewe kwenye hii nchi watu wazuri na waadirifu ni chadema tu,wengine woote ni mashetani. Wewe sina shaka,una matatizo kisaikolojia.
Kuvamia Clouds Fm ni minong'ono ya mitandaoni?Uovu wa Makonda ni minong'ono tu ya mitandaoni, hakuna mtu aliyejitokeza mbele ya hadhara akaja na ushahidi wa unyama wake ule wenye kujitosheleza.
Huyo Gekul kila kitu kipo wazi kabisa, na sijui alikuwa anafikiria nini kumfanyia yule kijana aina ile ya unyama!.
Tiambie kama alikutoa marinda tukutafutie wakiliKama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.
Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.
Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
mihemko na ghadhabu inashusha uzito wa hoja yakoKama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.
Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.
Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Tuanze na Makonda kwanza mwenye uovu wa shetaniKwa sasa mhusika ni Gekul na si Makonda
Hatuna rais bali mama mswahili wa kizanzibari na Uswahili mwingiKama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.