Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

Mbona mwigulu ana tuhuma za wizi wa fedha za umma na bado ni waziri wa fedha?
 
Kama kweli kafanya huo uovu, anastahili adhabu, bila kujali kama waovu wenzake wamehukumiwa.
 
 
Kamsokomeza mwenzake chupa

Kwa hiyo aachiwe arudi barazani

Apigiwe makofi apongozwe

Ova
 
Maadam Makonda karudi, basi na wewe Ole Sabaya anza kupasha. Muda wowote utarudi kwenye utaratibu wa awali
 
Gekul hana watu, hana mizizi mikubwa ndani ya chama
Kwani yeye hakulijuwa hilo

Mbona alianza kulewa madaraka sifa mapema sana wakati huko alikokwenda yeye mgeni tu bado

Ova
 
Kwaiyo lisu kumtaja hadharani ndo ushahidi wa wazi Cha pili lisu ni mwanasheria kama ana ushahidi wa wazi kwanini asifungue kesi mahakamani?
 
Kwani yeye hakulijuwa hilo

Mbona alianza kulewa madaraka sifa mapema sana wakati huko alikokwenda yeye mgeni tu bado

Ova
Madaraka yanalevya, haswa kwa mtu mpumbavu lazima apagawe, huyu alipaswa ajijengee connection nzito ndani ya chama chao
 
Makonda alitubu kwa wakubwa na kajutia kosa kaanuia kutorudia tena, ameishafanya malipizi yake kwa kukaa benchi.

Usimlinganishe na ya Dada aliyejiuzulu uwanachadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…