Wakifungwa team ni ya watanzania na wakishinda team yao na Mwenyekiti wao acha tufungwe[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] nayatambua maumivu ya wengi
I am in Nairobi, you are probably in Dar es Salaam. If you were in Arusha, I could drive there and sit you over some coffee............or vodka if it pleases you.😂😂😂 ask me this over a drink probably vodka blood mary cocktail 🍹
Nothing is impossible under the sun but I’m married to Asprin and I love him so much.I am in Nairobi, you are probably in Dar es Salaam. If you were in Arusha, I could drive there and sit you over some coffee............or vodka if it pleases you.
😂 😂 😂 😂Nothing is impossible under the sun but I’m married to Asprin and I love him so much.
mkuu karibu Kwa team kenya
MamaeeeeHii chuki waliianzisha wenyewe watawala . sisi tunaimalizia .Mungu ibariki Harambee Stars . japo mm ni mtanzania
Taifa stars inaombewa kufungwa kwasababu ya serikali inayochukiwa na wanasiasa wanaoitumia.Watu(baadhi) wanaiombea [emoji93] ishindwe sio kwa sababu ya chuki za kisiasa (well, DAB anaweza kufanya watu wakachukua timu yao), ila zaidi kwa sababu ya ukweli kuwa hatuna uwezo wa kushindana, hatujaandaliwa kushindana na huenda tupo hapo tulipo kwa bahati tu. Lakini pia, hatuna elimu ya uzalendo, elimu hii imemezwa na siasa uchwara ambazo zinatutenga.
Tujue tu kuwa hawa wanasiasa wanatutenga lakini wao wanagonga "cheers" kwenye viti virefu.
Weka ushahidi! Huyo kiongozi wa ccm hana jina? Kasemaje?
mkuu mbona una hofu isiyoweza kutatua tatizo?Nakwepa sana kitu kinaitwa chuki, nakwepa mno visasi... Chuki huzaa kisasi na kuviziana.... Kuombeana mabaya na kushindwa
Kama Taifa tulipitia vipindi tofauti vya chuki... Achana na chuki ile ya majirani kama ilivyo sasa... Hii inayojaribu kutengenezwa kati yetu na Wakenya.... Tuliwahi kupitishwa kwenye chuki za kiimani Waislam VS Wakristo... Chuki mbaya mno hii.... Lakini Mungu ni mwema hili likapita bila madhara makubwa
Hatujawahi kuingia kwenye chuki kubwa za kikabila... Hizi nazo zina sumu mbaya sana... Zinaweza kushabihiana kwa karibu na chuki za kidini...
Tafakuri, maono na hekima zetu zimeshindwa kutuepusha na chuki za kisiasa.... Kwasasa Waislam na Wakristo ni kitu kimoja.. Ila Watanzania kwa sasa wanachonganishwa na siasa kupitia wanasiasa...!
Uongozi ni kipawa... Tunaaswa kwenye misahafu kulinda vitu viwili kuliko vingine vyote.... MOYO na MDOMO... kwakuwa hivi ndio karakana ya mambo yote... Mema na mabaya... Moyo wenye msingi asili wa wazo na mdomo kama kiwakilishi na kipaza sauti cha kusambaza....
MDOMO ndio hatari zaidi ndio wa kulindwa zaidi kwakuwa chochote kitakachotoka humo hakina rivasi... Ni kama risasi ikitoka imetoka.... Kifuatacho ni madhara
Tuliombee taifa hali ni ngumu, chuki ni za wazi kabisa.. Tuwaombee viongozi wetu... Tuwashauri kwa hekima.... Kwa tafakuri kuu...
Maneno ni sumu, maneno yanajenga chuki, maneno yanafarakanisha.. Maneno yanaleta vita na kuangamiza roho nyingi zisizo na hatia......!!!
Tulitegemea leo iwe furaha kuu kwa timu yetu ya Taifa kufika ilipofikia baada ya miaka 40... Tulitegemea msisimko, shangwe, nderemo vifijo na kila aina ya bashasha... Lakini kilichopo kwa sasa ni kipi?
Hakuna shamrashamra, hakuna bashasha, hakuna msisimko wowote bali kuna MAOMBI hasi ya kutaka Taifa stars ishindwe.... Hii ndio itakuwa furaha ya wengi.... Kushindwa kwa stars kutaleta furaha kuliko kushinda....!!
Hapa ndipo tulipolifikisha Taifa.... Tutachomokaje kwenye mtego huu? Muda utasema... Siombei timu yangu ya Taifa ishinde wala ishindwe... Sitaki awepo mshindi kwenye hizi chuki...
Yeyote atakayeshinda ndio mwanzo wa kumea kwa mbegu ya chuki iliyokwisha pandikizwa...
Mungu ibariki Tanzania na watu wake...!!!!
Utapata tabu sana kujisaidia leo na kanyela mumo yako, usije ukajinyea. kabumbu sio siasaNaimani Taifa Stars hawata tuangusha leo. Mungu bariki Tanzania, Mungu bariki Taifa Stars..
ONE LOVE.
Aahaa Tanzania kwanza, Mungu kabariki tuna 1-0Utapata tabu sana kujisaidia leo na kanyela mumo yako, usije ukajinyea. kabumbu sio siasa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo lazima ulale na viatuUtapata tabu sana kujisaidia leo na kanyela mumo yako, usije ukajinyea. kabumbu sio siasa
Mkuu nimeya copy/paste maneno yako kwenye notebook asee. Ingependeza sana kama watanzania wote wangeyaelewa kama nilivyoyaelewa mimi[emoji106]. Mungu ibariki Tanzania.Nakwepa sana kitu kinaitwa chuki, nakwepa mno visasi... Chuki huzaa kisasi na kuviziana.... Kuombeana mabaya na kushindwa