Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Kwani Kuna shida gani kufanya gambling
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walio kuwa wanauza viroba walikuwa wakwepa kodi? Mbona vilipigwa ban??Lakn wanalipa.kodi kwa taifa
Je kuna sheria ya nch inavunjwa?
Ukiona Jambo hulielew ujue halipo kwa ajir yako wewe mkuu unaachana navyo
Bas serikal ifute kamari iongeze Kodi kwenye mafuta kufidia ya kamari
Binafs sisikiliz hzo radio za matangazo hayo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa thread hii. Ni swala ambalo hata mimi limekuwa linanikera sana. Kamari hulewesha watu kudhani kuwa kuna siku watatusua, na kuishia kumalizia hela yote kwenye Kamari kila siku badala ya kufikiria shughuli nyingine za kujipatia maendeleo. Inabidi Serikali iweke utaratibu wa kudhibiti mchezo wa kamari kwenye jamii, yaani kuwe na sehemu maalumu za kuchezea kamari kama kwenye casinos, na kuwe na kampuni chache tu za kamari. Siyo huu utititli wa kamari ulionenea nchi nzima kila pembe.Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu , Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?
Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.
Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .
Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.
Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?
Embu tulitafakari hili!?
Umeongea vema ila hapo kwa Magu,utapeli na kubet viliongezeka zaidi enzi zake.Tukashuhudia sms za Tuma ile pesa kwenye namba000000 jina abcde kila siku na huku line zote zikiwa zimesajiliwa kwa alama za vidole.Tujenge hoja bila kufanya reference kwa wasiohusika.Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu , Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?
Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.
Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .
Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.
Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?
Embu tulitafakari hili!?
Kamari iliwahi kuzuiwa lini na mwaka gani?Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu , Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?
Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.
Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .
Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.
Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?
Embu tulitafakari hili!?
Ni wale wale wanaotaka kutuaminisha Kwamba Awamu ya Mama sio nzuriUmeongea vema ila hapo kwa Magu,utapeli na kubet viliongezeka zaidi enzi zake.Tukashuhudia sms za Tuma ile pesa kwenye namba000000 jina abcde kila siku na huku line zote zikiwa zimesajiliwa kwa alama za vidole.Tujenge hoja bila kufanya reference kwa wasiohusika.
Zimesahiriwa zingin Wasafi Bet na Bet Power🤣🤣Lakn wanalipa.kodi kwa taifa
Je kuna sheria ya nch inavunjwa?
Ukiona Jambo hulielew ujue halipo kwa ajir yako wewe mkuu unaachana navyo
Bas serikal ifute kamari iongeze Kodi kwenye mafuta kufidia ya kamari
Binafs sisikiliz hzo radio za matangazo hayo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni mbinu ya ccm kuendelea kutawala.Inasikitisha kamali inapewa kipaumbe sana na watu kufanya kama Kazi na starehe ,tunapoeleka pabaya zaidi kama hali hii itashamiri zaidi.
Mi hata sijawahi kujaribu.Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu , Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?
Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.
Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .
Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.
Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?
Embu tulitafakari hili!?
Mkuu sina mambo ya ufuasi..hii ni kweli kabisa."Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi ."
Wafuasi wa huyu jamaa sijui nilini mtaacha kutudanganya
Ukifika ofisini za KAMALI, Utashangaa jinsi Vijana walivyojazana huku wameshika vikaratasi mkononi..yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] ki ukweli sishangai kuona panya road kwa hali tuliyofikia.Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?